Mkumbatio bar zenye mziki

kibovu

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
702
Reaction score
759
Igweeeeeeee

Wadau jumapili nilikuwa kikazi Kahama kama kawaida yangu nikifika sehemu ambayo sina ndugu hupenda kuchukua hotel iliyo karibu na kiwanja kilicho changamka .

Wadau Kahama mimi si mwenyeji nilitafuta bodaboda sharobalo nikamuuliza kuna kiwanja gani watoto wazuri hujaaa kwa sababu mimi ninapokunywa beer hupenda kuviona pia viuno vya warembo vinavyozunguuka.

Bodaboda alinijibu kuna bar inaitwa the fox nikamuambia tutafute hotel ya karibu na pale akanipeleka hotel nzuri nikalale inaitwa good valley.

Niliendelea na kazi baada ya kufika good valley basi mnamo saa 4 nilimpigia cm bodaboda nikaone mambo ya the fox Kahama .
Nimefika pale the fox nikaagiza Jack daniel nikawa naila mdogo mdogo baada ya muda akatokea mwamba mmoja yeye ni,mtumishi halimashauri pale idara ya utawala tulisoma naye chuo tukawa story za hapa na pale.

Pembeni yangu alikuwepo mdada mmoja mzuri sana wadau tunaojua kutasimini nikiangalia najua tu huyu malaya muuzaji na huyu ni classic mziki ulikuwa ukipigwa akicheza taratibu basi mimi nilikuwa nipo nachati zangu ila kiukweli siku hiyo nilipendeza sana mitupio yangu msela mmoja hatufahamiani akaja akaniambia da bro unajua kuvaa basi tukaendelea na mimi,nikaanza kucheza huku nakula kilaji changu mdogo mdogo.

Yule dada sina hili wala lile akanipa kiuno da aiseeee mtoto alikuwa laini kavaaa vizuri nakapendeza nilimshikilia kiuno kwakweli alikuwa mrembo sana.

Nikamuuliza unafanya kazi wapi akaniambia Mwanza yuko NMB na alikuja kula maisha tu Kahama dada yake aliolewa pale .

Wadau katika kusoma kwangu wadau mbalimbali walikuwa,wakinisimulia wakienda kirabu walivokatikiwa na madem hadi kupiga goli pale pale niliwacheka sana kwani mimi nimekatikiwa sana tukicheza mziki sikuwahi kufanya hivo.

Mtoto huyo wa NMB aliitwa Jack ,wadau Jack alikuwa mtoto wa kisukuma changanya na Rwanda wadau mtoto ni mashalah alinipa kiuno mpaka wanakahama nilivokuwa nakishika walinionea wivu walipita huku wameshika mashavu kuna dogo mmoja alivo zaifu akaniaomba brother japo.sekundu 20 nimbambie walau nipige goli nikamwambia acha uzaifu tafuta dem wapo wengi hapa ukale mmoja.

Wadau mtoto alimsikia abdala alivokuwa anamsumbua na tena abdala wa kinyamwezi alilegea haswa nikamueleza hotel niliyofikia akavunga vunga nikamuomba nikamle japo moja bcoz nilimlegeza ili arudi kwa dada yake akakubali .

Nilienda nilimla akaniambia your so niga ,lakini alichofanya mpaka nimle ni,organization ninayo fanyia kazi ni ya heshima, nilipomuonyesha id mtoto alilegea zaidii,aliniahidi moja nilimla mpaka kesho yake nikamuacha hotel nikaendelea na majukum ya kikaz alimpigia tu cm dada yake kuwa amekutana na rafiki yake wa siku nyingi yuko salama akamuagiza bodaboda amuendelezee nguo kwa dada yake azilete hotel tutakuwa nae leo usiku kucha kesho atarudi Mwanza na mimi ntaenda Geita .Hakika penzi alilonipa nimeinjoy sikuwahi kupata ningechelewa kwenda nae kulala ingenikuta aibu ya wale jamaaa zangu wa chuo.

Asante Kahama, asante bodaboda hakika mtaendelea kuishi katika maisha yangu
 
Msela alokusifia "umependeza ni mwana Apollo!! Wanapenda saaana vijana mliolegea kama wewe! Tabora warabu walituaribia
 
Kaka hujatuambia kama mechi uliuza au la.
Kama uliuza basi jiandae kushuka ligi hadi daraja la 4 mchangani huko
 
Kaka hujatuambia kama mechi uliuza au la.
Kama uliuza basi jiandae kushuka ligi hadi daraja la 4 mchangani huko
hahaha mzeee bb askari unapoenda kambini usisahau kombati
 
Kahama huu mji unasifiwa sana kwa mengi. Itabidi nifanye ziara the Fox sijui Fix

Oya JD wanauzaje hapo
 
hamna kitu unatafuta sifa tu si useme ulinunua malaya mkuuu kwanini unazungusha habari ivyo
kahama napajua na hapo fox napajua
 
hamna kitu unatafuta sifa tu si useme ulinunua malaya mkuuu kwanini unazungusha habari ivyo
kahama napajua na hapo fox napajua
mkuuuu kama ulinunua malaya ni ww si wote waendao bar ni malaya acha ushamba
 
Nilianza kuifuatilia stori ila nilipofika "Akamwambia bodaboda amuendelezee " nikajua wewe jamaa ni jamii ya watu wabishi na sifa nyingi.
mkuuu inaonesha ww ni mwalimu kwa taaluma yako una complicate mambo sana
 
Oooooh kumbe ndo ilivyokuwa bas sawa.
 
Yaleyale ya vidada vya uswahilini kusema vinasoma "udithimu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…