chikaputula
Member
- Jan 21, 2014
- 28
- 3
a-level mwalimu mmoja wa chemistry alikuwa hata kichwa cha habari alikuwa anaangalia neno moja baada lingine kwenye kitabu yaan hatari!
Tulikuwa na mwalimu mmoja wa historia kidato cha tatu,yaani akiingia darasani ni mwendo wa kusoma notisi mwanzo mwisho.tulikuwa tunachapa usingizi tu.
Mwalim wangu wa Physics akija keshachapa pombe vibaya sana
hata jina nishamsahau ye alikuwa anaongea na ubao tu
mhm,,nina mashaka na mahudhurio yako kwenye hicho kipindi
hahaa mahudhurio yalikuwa hafifu na akiona husikilizi anakwambia GET OUT
mie nimetolewa nje mara nyingi sana
mwalimu alienifundisha physics kwa wakati uke nilikuwa nadhani ni kilaza kumbe siyo,kilaza nilikuwa mimi,alikuwa vizuri ila jeuri tu na uslow learning wangu ulinifanya nimuone kilaza
natumai physics necta hukuchora zombi
mwongozo tafadhali
Muheshimiwa Spika tunamuomba Muheshimiwa kyumana afute kauli yake haraka sana
jamani nimefutanilitaka kuandika Ule sorry ni typing error