Mkumbuke mwalimu kilaza shule uliyosoma.

Mkumbuke mwalimu kilaza shule uliyosoma.

Status
Not open for further replies.

chikaputula

Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
28
Reaction score
3
Tulikuwa na mwalimu mmoja wa historia kidato cha tatu,yaani akiingia darasani ni mwendo wa kusoma notisi mwanzo mwisho.tulikuwa tunachapa usingizi tu.
 
Mimi O -level alikuwepo mmoja hivi alikuwa anaitwa moment of a force kila siku anaingia na haimalizi topic,halafu haeleweki.Watu tulikuwa tuna muuliza maswali sana anachukia.
 
A-level mwalimu mmoja wa chemistry alikuwa hata kichwa cha habari alikuwa anaangalia neno moja baada lingine kwenye kitabu yaan hatari!
 
Tulikuwa na mwalimu mmoja wa historia kidato cha tatu,yaani akiingia darasani ni mwendo wa kusoma notisi mwanzo mwisho.tulikuwa tunachapa usingizi tu.
d.png
 
Mwalim wangu wa Physics akija keshachapa pombe vibaya sana

hata jina nishamsahau ye alikuwa anaongea na ubao tu
 
Kwa wale mnao comment humu na ni walimu,jitathmini maana miaka ujayo utakumbukwa kwa mchango wako wa div 5!
 
Mwalimu alienifundisha Physics kwa wakati ule nilikuwa nadhani ni kilaza kumbe siyo,kilaza nilikuwa mimi,alikuwa vizuri ila jeuri tu na uslow learning wangu ulinifanya nimuone kilaza
 
Kibasila miaka ya 2008/09 kulikuawa na madam anafundisha GS, alikua shallow, sema tulikua hatummaindi as hatukuona umuhimu wa somo lenyewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom