Mkumbuke mwalimu kilaza shule uliyosoma.

Status
Not open for further replies.
si tulikuwa na waalimu wawili bana! kila siku ni kufundisha reproduction tu!!

sijui walikua wanawaza nini wale walimu!

mmoja wa kike, mwingine wa kiume!
 
Usagara sec mwalimu wa kiswahili o level late 70's kwa jina la utani jaribosi
 
Mwalimu wangu Ahmada,siku hizi nasikia hapewi vipindi kufundisha,ye ni pombe na anachokiongea hakuna kitu.
 
Mwl wangu wa Geog, O level pale Tambaza...jina nimemsahau ni siku nyingi mnoo zmepita.
 
......mwalimu Mrs Mbena tambaza, alikuwa anafundisha chemistry high high school. Alikuwa kilaza, ukimuuliza swali itachukua week kukujibu na bado anachapia.

Halafu mwenyewe alikuwa anasema nina masters ya chemistry na bado anachapia.
 
haya pia mjiorodheshe mlokuwa vilaza datasan hapa maana mpo jf mmejifunza kuingia kwa mbinde msipitwe na utandawaz.
waalimu wengi sio vilaza ila walishagoma miaka mingi ilopita
 
siwezi ungana na ww kilaza kuwakashfu walimu waliosababisha nfike apa nlipo pole sana mtoa mada kwa kutojitambua na wenye mawazo mgando kama yako walioungana nawe kukometi upu uuzi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…