Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
tumekuelewa Muheshimiwa
mmh nanyi kwa kukomalia mmh nadhani mliona kale kaneno kama kananyanyapaa watu eeeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tumekuelewa Muheshimiwa
Mwalim wangu wa Physics akija keshachapa pombe vibaya sana
hata jina nishamsahau ye alikuwa anaongea na ubao tu
Mwalim wangu wa Physics akija keshachapa pombe vibaya sana
hata jina nishamsahau ye alikuwa anaongea na ubao tu
alikuwa ni wa kike??
si tulikuwa na waalimu wawili bana! kila siku ni kufundisha reproduction tu!!
sijui walikua wanawaza nini wale walimu!
mmoja wa kike, mwingine wa kiume!
n ile shule ya mission?
mwendi wa shebby?