snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
Judgement hufai kabisa wewe!yani sijui ilikuwaje sikona hii post yako toka jumapili!yani nimechekaaaje!mpka watu wananishangaa hapa!Mwalimu Philipo Mulugo kwa sasa anafundisha Zimbabwe Ireland, alinifundisha formular ya kuchochea kuni mbichi na zikaivisha .
Last edited by a moderator: