Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Leo umekuja kivingine....Ujinga ni vibarua Milioni moja wanao changa Tsh. 500 kila siku sawa na 500,000,000/= ambayo ni (Blioni 1.5) kwa mwezi na kumpa bilionea ambaye baadae huwashukuru kwa kumchagua kibarua mmoja na kumpa milioni 10 kama shukrani.
Nazani wale wakali wa KUBETI wanaweza fafanua hili zaidi.
Kundi kubwa la vijana limeendelea kuwa masikini kwa tamaa ya utajiri wa haraka.
Embu mkumbushe Kijana wa Africa hamna utajiri wa ghafla.
Ili aondokane na ndoto za kuwa bilionea kwa Kubeti.
See you somewhere top.