mkumbushe Kijana wa Africa hamna utajiri wa ghafla

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Ujinga ni vibarua Milioni moja wanao changa Tsh. 500 kila siku sawa na 500,000,000/= ambayo ni (Blioni 1.5) kwa mwezi na kumpa bilionea ambaye baadae huwashukuru kwa kumchagua kibarua mmoja na kumpa milioni 10 kama shukrani.

Nazani wale wakali wa KUBETI wanaweza fafanua hili zaidi.

Kundi kubwa la vijana limeendelea kuwa masikini kwa tamaa ya utajiri wa haraka.

Embu mkumbushe Kijana wa Africa hamna utajiri wa ghafla.
Ili aondokane na ndoto za kuwa bilionea kwa Kubeti.

See you somewhere top.
 
Umekosea hesabu,kama 500M kwa siku basi kwa mwezi ni 15B na sio 1.5 bilioni
 
Ujinga ni vibarua Milioni moja wanao changa Tsh. 500 kila siku sawa na 500,000,000/= ambayo ni (Blioni 1.5) kwa mwezi na kumpa bilionea ambaye baadae huwashukuru kwa kumchagua kibarua mmoja na kumpa milioni 10 kama shukrani.

Nazani wale wakali wa KUBETI wanaweza fafanua hili zaidi.

Kundi kubwa la vijana limeendelea kuwa masikini kwa tamaa ya utajiri wa haraka.

Embu mkumbushe Kijana wa Africa hamna utajiri wa ghafla.
Ili aondokane na ndoto za kuwa bilionea kwa Kubeti.

See you somewhere top.
Leo umekuja kivingine....
cc: JLW
 
Back
Top Bottom