Mkungu wa ndizi wa Q-Chillah na T.I.D umerudisha heshima ya mziki wetu wa nyumbani

Q chilla toka alipoanza kuitoa "For You" tayari kasharudi kikamilifu katika mzki huu wa ushindani...Ngoja nianze kuitafuta youtube
 
Tafsiri ya uo wimbo hasa neno "mkungu wa ndizi" ni nini?
Hahahahaaa hata mimi nimetafakari sana hilo mkuu.
Ila kwani kuna fumbo gani hapo?
Mkungu wa ndizi si 'unajulikana'?
 
Ngoma ya ukweli..kichupa inabidi kiwe cha kiswazi ndo kitapendeza..
 
Sure..Niliuelewa since day one..Uko Poa...Umeelewa mkungu wa ndizi ana maana gani?
Mhhhhhh,nimechekecha akili naona yatakuwa ni yale mambo yetu yaleeeee....hahahahaa
 

= wanafaulu
= godfather

= sasahivi
= si


Pia jifunze kuweka vituo kama koma, alama ya mshangao au nukta. Hapa tunaona hata na wewe uelewa wako bado ni mdogo..
 
Teh teh..Mkuu vingi sana utakuwa haujasikia..Inakuwaje kibao hiki hujakisikia
Mkuu mambo ya ubize lol..
Nausikilza hapa, narudia tena ili nilete mrejesho
 
Mkuu mambo ya ubize lol..
Nausikilza hapa, narudia tena ili nilete mrejesho
Poa..Uje na lines mbili tatu ulizozipenda..Kwa ubazazi wako najua tu kuna lines zitakuwa zimekuvutia
 
Mbona sio mzuri sasa? upuuzi tu
 
Poa..Uje na lines mbili tatu ulizozipenda..Kwa ubazazi wako najua tu kuna lines zitakuwa zimekuvutia
Ha haaaa

Mapenzi majani huota popoteeeeee....

Mkuu ubazaz bado siku mbili tu nauacha


Cc @nifah
 
Hahahahaaa hata mimi nimetafakari sana hilo mkuu.
Ila kwani kuna fumbo gani hapo?
Mkungu wa ndizi si 'unajulikana'?
mkungu wa ndizi kwa tafsiri aliyoitoa chilla wakati anatambulisha ngoma ni (fungasho/hips)
 
Ha haaaa

Mapenzi majani huota popoteeeeee....

Mkuu ubazaz bado siku mbili tu nauacha


Cc @nifah
Mimi nimependa pale
Ninayempenda mimi bado hajazaliwa......
Na anavyolalamika mtoto mdogo mdogo kabeba mkungu wa ndizi....daaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…