little hulk
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 1,610
- 557
Q chilla toka alipoanza kuitoa "For You" tayari kasharudi kikamilifu katika mzki huu wa ushindani...Ngoja nianze kuitafuta youtube
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
urushiepo hapa basi...
Kuna jamaa anaitwa #Sangoma hapo juu ameshaweka link yake.Q chilla toka alipoanza kuitoa "For You" tayari kasharudi kikamilifu katika mzki huu wa ushindani...Ngoja nianze kuitafuta youtube
Sure..Niliuelewa since day one..Uko Poa...Umeelewa mkungu wa ndizi ana maana gani?Sanaaaaaa,huu wimbo balaa tupu.
Ni kibao kipya,sina uhakika kama video tayari.
Hata kuattach audio sijui,ningeweza ningewawekea.
Watu kweli uelewa ni kazi ndo maana mnasoma wote darasani wanafauru wachache yeye anasema wimbo wa chilla na tid umerudisha heshima wewe unaulizia video mara tuwekee link ya video wewe ili ujue wimbo ni mkali mpaka uone video yake wimbo mkali anaamaanisha utunzi wa mashairi aina ya midundo iliyotumika na dogfather kashawaharibu baada ya kusema dah wimbo wako mzuri saivi mnasema video yako nzuri vp kuhusu audio c nzuri c kila ngoma iwe na video hapa anazungumzia single mpya ya Q Chilla ft Tid inaitwa mkungu wa ndizi kama bado ujaisikiliza link hii hapa http://djkidemnyama.blogspot.com/2015/11/new-music-audio-q-chilla-ft-tid-mkungu.html?m=1
Teh teh..Ndo humo humo..Mhhhhhh,nimechekecha akili naona yatakuwa ni yale mambo yetu yaleeeee....hahahahaa
Mkuu mambo ya ubize lol..Teh teh..Mkuu vingi sana utakuwa haujasikia..Inakuwaje kibao hiki hujakisikia
Poa..Uje na lines mbili tatu ulizozipenda..Kwa ubazazi wako najua tu kuna lines zitakuwa zimekuvutiaMkuu mambo ya ubize lol..
Nausikilza hapa, narudia tena ili nilete mrejesho
Mbona sio mzuri sasa? upuuzi tuHebu tuachane na haya mambo ya Kiba vs Diamond kwanza tuangalie wanamuziki/wasanii wetu wengine wanafanya nini.
Binafsi nimependezwa sana na kibao cha Q-Chillah akishirikiana na mwenzie T.I.D ambao awali walikuwa wanaunda kundi la Top Band kabla ya kuachana na kila mtu kufanya mziki kivyake (Solo).
Sasa wamerejea na kutoa kibao hiki matata ambacho kimenitia wazimu kabisa maana hapa tu ninapoandika hii post kiuno kinauma kwa kuserebuka....lol
Kibao hiki hakika kimerejesha hadhi ya mziki wetu wa nyumbani (mduara) na kiukweli Q- Chillah nimekuvulia kofia kuwa wewe ndio MKALI WA HIZI KAZI.
Sio kwa kulalamika kule.....umesema wanakuita Sheitwani nami nakuita Ibilisi kabisa.
Kama kuna mtu ambaye hajasikiliza hiki kibao kakosa mengi,hakika UTAKIPENDA TU!
Mie hiki kibao ndio my favourite song sasa......
"Mtoto mdogo mdogo,kabeba mkungu wa ndizi....omamaa omaaa eeeeeh"
Acha kabisa.
mkungu wa ndizi kwa tafsiri aliyoitoa chilla wakati anatambulisha ngoma ni (fungasho/hips)Hahahahaaa hata mimi nimetafakari sana hilo mkuu.
Ila kwani kuna fumbo gani hapo?
Mkungu wa ndizi si 'unajulikana'?
cc @Kaboom na @Kaka Jambazimkungu wa ndizi kwa tafsiri aliyoitoa chilla wakati anatambulisha ngoma ni (fungasho/hips)
we share the same idea mkuu, mwenyewe nimeona upupu tuMbona sio mzuri sasa? upuuzi tu
hebu sikiliza na wimbo wa wagosi BAOSio lazima uwe mzuri kwa kila mtu,binafsi umenikosha sana