wewe nawe unaelekea kuwa kicheche.... sasa ule wimbo ndo nini... wacheze wasasambuaji tu huko... huku bara hizo hazitufai.Hebu tuachane na haya mambo ya Kiba vs Diamond kwanza tuangalie wanamuziki/wasanii wetu wengine wanafanya nini.
Binafsi nimependezwa sana na kibao cha Q-Chillah akishirikiana na mwenzie T.I.D ambao awali walikuwa wanaunda kundi la Top Band kabla ya kuachana na kila mtu kufanya mziki kivyake (Solo).
Sasa wamerejea na kutoa kibao hiki matata ambacho kimenitia wazimu kabisa maana hapa tu ninapoandika hii post kiuno kinauma kwa kuserebuka....lol
Kibao hiki hakika kimerejesha hadhi ya mziki wetu wa nyumbani (mduara) na kiukweli Q- Chillah nimekuvulia kofia kuwa wewe ndio MKALI WA HIZI KAZI.
Sio kwa kulalamika kule.....umesema wanakuita Sheitwani nami nakuita Ibilisi kabisa.
Kama kuna mtu ambaye hajasikiliza hiki kibao kakosa mengi,hakika UTAKIPENDA TU!
Mie hiki kibao ndio my favourite song sasa......
"Mtoto mdogo mdogo,kabeba mkungu wa ndizi....omamaa omaaa eeeeeh"
Acha kabisa.
Huwezi amini mimi sio mdau wa taarab wala miduara hadi itokee tu.wewe nawe unaelekea kuwa kicheche.... sasa ule wimbo ndo nini... wacheze wasasambuaji tu huko... huku bara hizo hazitufai.
hata sijui kwannini tuwajadili hawa........!!??Mimi naona wabwia ngada tu hapo!
Huwezi amini mimi sio mdau wa taarab wala miduara hadi itokee tu.
Na sasambu lenyewe ni private hadharani siwezi....
Ila wimbo uko poa bwana.
Mbona Nasema Nawe wa Diamond hukuuponda?
Haswaa wanastahili kabisaHatari sana mkuu,huu wimbo unastahili tuzo ya wimbo bora wa asili (mduara).
Wewe ni Mmanyema?Huwezi amini mimi sio mdau wa taarab wala miduara hadi itokee tu.
Na sasambu lenyewe ni private hadharani siwezi....
Ila wimbo uko poa bwana.
Mbona Nasema Nawe wa Diamond hukuuponda?
Hebu tuachane na haya mambo ya Kiba vs Diamond kwanza tuangalie wanamuziki/wasanii wetu wengine wanafanya nini.
Binafsi nimependezwa sana na kibao cha Q-Chillah akishirikiana na mwenzie T.I.D ambao awali walikuwa wanaunda kundi la Top Band kabla ya kuachana na kila mtu kufanya mziki kivyake (Solo).
Sasa wamerejea na kutoa kibao hiki matata ambacho kimenitia wazimu kabisa maana hapa tu ninapoandika hii post kiuno kinauma kwa kuserebuka....lol
Kibao hiki hakika kimerejesha hadhi ya mziki wetu wa nyumbani (mduara) na kiukweli Q- Chillah nimekuvulia kofia kuwa wewe ndio MKALI WA HIZI KAZI.
Sio kwa kulalamika kule.....umesema wanakuita Sheitwani nami nakuita Ibilisi kabisa.
Kama kuna mtu ambaye hajasikiliza hiki kibao kakosa mengi,hakika UTAKIPENDA TU!
Mie hiki kibao ndio my favourite song sasa......
"Mtoto mdogo mdogo,kabeba mkungu wa ndizi....omamaa omaaa eeeeeh"
Acha kabisa.
Nimemisi Vingi,haswaaa kile cha muhimu zaidi...tusimwage mchele hapa mpenzUngeniua kwa presha...
Umemisi nini zaidi??
Haha,miss u pia dear,naona kitu kimekugusa mpaka kumoyo....Hahahahahaa wewe?
Miss you though.
cc @DuppyConquerormkungu wa ndizi kwa tafsiri aliyoitoa chilla wakati anatambulisha ngoma ni (fungasho/hips)
cc @DALAWatu kweli uelewa ni kazi ndo maana mnasoma wote darasani wanafauru wachache yeye anasema wimbo wa chilla na tid umerudisha heshima wewe unaulizia video mara tuwekee link ya video wewe ili ujue wimbo ni mkali mpaka uone video yake wimbo mkali anaamaanisha utunzi wa mashairi aina ya midundo iliyotumika na dogfather kashawaharibu baada ya kusema dah wimbo wako mzuri saivi mnasema video yako nzuri vp kuhusu audio c nzuri c kila ngoma iwe na video hapa anazungumzia single mpya ya Q Chilla ft Tid inaitwa mkungu wa ndizi kama bado ujaisikiliza link hii hapa http://djkidemnyama.blogspot.com/2015/11/new-music-audio-q-chilla-ft-tid-mkungu.html?m=1
Unaakili nyingi ndiyo maana umekuwa wangu...twende kule tukayaongeeNimemisi Vingi,haswaaa kile cha muhimu zaidi...tusimwage mchele hapa mpenz
Mhhh...Hapana mkuu,mimi ni mutoto ya Arusha.
Haya baba tangulia...Unaakili nyingi ndiyo maana umekuwa wangu...twende kule tukayaongee