Mkungu wa ndizi wa Q-Chillah na T.I.D umerudisha heshima ya mziki wetu wa nyumbani

Kwenye hiko kibao kizima ulichopost mi nimependa hapo ulipoumwa kiuno tu...mhh balaha hiyo
Hahahahahaaa dah basi tu.
Ninavyokujua ningeshangaa kama ungeongelea kingine tofauti na hicho....
 
Hebu tuachane na haya mambo ya Kiba vs Diamond kwanza tuangalie wanamuziki/wasanii wetu wengine wanafanya nini.

Binafsi nimependezwa sana na kibao cha Q-Chillah akishirikiana na mwenzie T.I.D ambao awali walikuwa wanaunda kundi la Top Band kabla ya kuachana na kila mtu kufanya mziki kivyake (Solo).
Sasa wamerejea na kutoa kibao hiki matata ambacho kimenitia wazimu kabisa maana hapa tu ninapoandika hii post kiuno kinauma kwa kuserebuka....lol

Kibao hiki hakika kimerejesha hadhi ya mziki wetu wa nyumbani (mduara) na kiukweli Q- Chillah nimekuvulia kofia kuwa wewe ndio MKALI WA HIZI KAZI.
Sio kwa kulalamika kule.....umesema wanakuita Sheitwani nami nakuita Ibilisi kabisa.

Kama kuna mtu ambaye hajasikiliza hiki kibao kakosa mengi,hakika UTAKIPENDA TU!

Mie hiki kibao ndio my favourite song sasa......
"Mtoto mdogo mdogo,kabeba mkungu wa ndizi....omamaa omaaa eeeeeh"
Acha kabisa.
wewe nawe unaelekea kuwa kicheche.... sasa ule wimbo ndo nini... wacheze wasasambuaji tu huko... huku bara hizo hazitufai.
 
Huwezi amini mimi sio mdau wa taarab wala miduara hadi itokee tu.
Na sasambu lenyewe ni private hadharani siwezi....
Ila wimbo uko poa bwana.
Mbona Nasema Nawe wa Diamond hukuuponda?
 
Did u ask for my opinion!?
 
Chillah njoo huku kunawatu wanaupenda mkunguwako...sijui umebeba ndizi mzuzu au mshale??
 
Huwezi amini mimi sio mdau wa taarab wala miduara hadi itokee tu.
Na sasambu lenyewe ni private hadharani siwezi....
Ila wimbo uko poa bwana.
Mbona Nasema Nawe wa Diamond hukuuponda?
Wewe ni Mmanyema?
 
Hebu tuachane na haya mambo ya Kiba vs Diamond kwanza tuangalie wanamuziki/wasanii wetu wengine wanafanya nini.

Binafsi nimependezwa sana na kibao cha Q-Chillah akishirikiana na mwenzie T.I.D ambao awali walikuwa wanaunda kundi la Top Band kabla ya kuachana na kila mtu kufanya mziki kivyake (Solo).
Sasa wamerejea na kutoa kibao hiki matata ambacho kimenitia wazimu kabisa maana hapa tu ninapoandika hii post kiuno kinauma kwa kuserebuka....lol

Kibao hiki hakika kimerejesha hadhi ya mziki wetu wa nyumbani (mduara) na kiukweli Q- Chillah nimekuvulia kofia kuwa wewe ndio MKALI WA HIZI KAZI.
Sio kwa kulalamika kule.....umesema wanakuita Sheitwani nami nakuita Ibilisi kabisa.

Kama kuna mtu ambaye hajasikiliza hiki kibao kakosa mengi,hakika UTAKIPENDA TU!

Mie hiki kibao ndio my favourite song sasa......
"Mtoto mdogo mdogo,kabeba mkungu wa ndizi....omamaa omaaa eeeeeh"
Acha kabisa.

Hebu kirushe humu mwenzako nami nifaidi uhondo
 
Watu kweli uelewa ni kazi ndo maana mnasoma wote darasani wanafauru wachache yeye anasema wimbo wa chilla na tid umerudisha heshima wewe unaulizia video mara tuwekee link ya video wewe ili ujue wimbo ni mkali mpaka uone video yake wimbo mkali anaamaanisha utunzi wa mashairi aina ya midundo iliyotumika na dogfather kashawaharibu baada ya kusema dah wimbo wako mzuri saivi mnasema video yako nzuri vp kuhusu audio c nzuri c kila ngoma iwe na video hapa anazungumzia single mpya ya Q Chilla ft Tid inaitwa mkungu wa ndizi kama bado ujaisikiliza link hii hapa http://djkidemnyama.blogspot.com/2015/11/new-music-audio-q-chilla-ft-tid-mkungu.html?m=1
cc @DALA
Download hapa mkuu,enjoy.
 
Back
Top Bottom