lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,164
- Thread starter
- #21
Kupanga ni kuamua, lara 1 unaogopa kuweka mali nyingine kisa TRA huo ni ushahidi tosha kwamba kuna utapeli mwingi, dhuluma na ukandamizaji ulifanyika kulimbikiza hivyo alivyopata. Kuna watu wanapenda kuongelea mafanikio lakini ukweli unabakia kuwa markets nchini bila hujuma huwezi kuwa mega-enterpreneur. Kama mafanikio yanacost dhuluma na fitina lets stay in the middle class.
Wala huyu baba hajamzulumu mtu, kaanza kila mtu kamuona na amekua kwa step. Sema tu sitaki kutaja coz kuna watu wanamjua humu, afu mtu akikuaambia kitu in confidence sio ishu kumuanika hazarani. Angetaka mashauzi angejishaua mwenyewe. Wanaomjua wanaelewa what im talkin about.