MKURABITA! Historia za Kweli jinsi wadau(Tz) walivotoka kiuchumi. Ngombe 1 mpaka kumiliki Ranch!


Wala huyu baba hajamzulumu mtu, kaanza kila mtu kamuona na amekua kwa step. Sema tu sitaki kutaja coz kuna watu wanamjua humu, afu mtu akikuaambia kitu in confidence sio ishu kumuanika hazarani. Angetaka mashauzi angejishaua mwenyewe. Wanaomjua wanaelewa what im talkin about.
 
Agricultural products, na Income generated from Biological Assets hazina ushuru kwa Tanzania, Unless zimefanyiwa further processing. TRA hatuhusiki hapa.

Ila mnahusika kwenye PAYE ya kamshahara ka wizara! Lol!
 

Siri ni kufuga Kisasa Baaaaaaaaaaaaaaass! Ngombe ziko pale, na biashara yake kubwa ni Maziwa, mbuzi, kuku za kienyeji na mayai!

NWala hana makuuu!
 
Agricultural products, na Income generated from Biological Assets hazina ushuru kwa Tanzania, Unless zimefanyiwa further processing. TRA hatuhusiki hapa.

kwa hiyo unataka niamini kuwa kampuni inayojishughulisha na kilimo hailipi income tax? Halafu kodi nyingine stahiki kama PAYE za wafanyakazi wa huyo jamaa nazo zimesamehewa? Kati ya taasisi zinazorudisha maendeleo yetu nyuma TRA mnaongoza hamkusanyi kodi kwa loopholes za kipuuzi.
 
lara 1 naona umeamua kumuunga mkono bwana ruge na kampeni yake ya twenzetu ili kutumia fursa kupitia mkurabita na mkukuta pia andaa mchakato ambayo sio mtambuka ili target zifike haraka

Kufika lazima tutafika tu, hata kwa Bakora ikibidi. We jinafasi na hela zako ukiingia humu unachapwa bakora moyo unasonyaje kimya kimya ila jioni ukiingia Bar wakati bia inashukua utawaza mambo mengi sanaaa, ya future yako!
 

Acha kumtuhumu mtu nyeti wa nchi hii! Namna hii mtataka hadi Hausigelo na Shamba boy wakatwe PAYE!
 
lara 1 lile jukwaa jingine nimeona halikufai hata kidogo itabidi ubaki humu humu ujaribu kuwakomboa na kuwabadilisha vijana kimawazo wapambane na umasikini bila kutumia maandamano.
 
Last edited by a moderator:
Acha kumtuhumu mtu nyeti wa nchi hii! Namna hii mtataka hadi Hausigelo na Shamba boy wakatwe PAYE!

hao watu nyeti unaowaongelea wanakandamiza haki za wengine, hao wafanyakazi wanaompa zaidi ya 1 million per day, wanayo haki kulipwa stahiki zao ikiwamo kuwekewa àkiba nssf na kutoa mchango wao kwa taifa. Mbona cleaners walioajiriwa wanalipa kodi na kuwekewa share zao nssf? Usishabikie unyonyaji kwa wengine kwa kigezo cha investment na returns kubwa. Fanya biashara halali
 

Wala sio unyonyaji! Hizi zama za biashara huru! Wala hulazimishwi kufanywa mtumwa! Mnakubaliana tu kwa hiari.

Mtu anakwambia mimi natoa hii 40000 kwa mwezi haikufai nikutakie maisha mema! Unapima tu unafanya. Ukigoma wakija wenzio wanafanya fasta!

MAMBO YA CAPITALISM HAYO! Mtu ana degree analipwa 200,000 akifikiria kukaa nyumbani anaona bora afanye
 
Siri ni kufuga Kisasa Baaaaaaaaaaaaaaass! Ngombe ziko pale, na biashara yake kubwa ni Maziwa, mbuzi, kuku za kienyeji na mayai!

NWala hana makuuu!
Pia washauri vijana watakaokimbilia kufuga kwa wasifungie ming'ombe yao kwenye nyumba wanazoishi, harufu ya mbolea ya mifugo sio nzuri kwa watoto. Ukiamua kufuga ingia zako Mkuranga huko nunua hata ekari mbili peleka mifugo huko. Unakuta mtu anafuga ng'ombe wa maziwa SINZA, how come?

Kwa wale wasiopenda utajiri wa haraka haraka twendeni tukapande MITIKI, ukipanda miti ya mitiki leo utataabika kwa miaka 15 tu baada ya hapo wewe unakuwa unakula kiulaini tu. Fursa ziko nyingi nchi hii tatizo hatujishugulishi, wote tunarundikana kwenye foleni asubuhi na jioni kwenda mjini badala ya kupishana wengine wanaenda mjini wengine tunaenda shambani.
 

watu wengi wanateseka leo kwa mawazo kama yako. Hivi unajua kwa malipo hayo familia ya huyo mtu inaishije?
 
Hii story mbona ina gaps nyingi sana.

Miaka ya tisini Kibaha picha ya ndege hakukuwa na shughuli yoyote ya wizara ya kumfanya mtumishi wa wizara ahamishiwe.

Miaka ya tisini picha vitu pekee vya serikali vilikuwa shule ya msingi na uwanja wa michezo ambao ni unfinished mpaka leo, uko eneo la Mkuza. Sasa huyu alihamishiwa picha ya ndege akafanye nini?

Miaka ya tisini mpaka early 90s wafugaji wakubwa wa Kibaha walikuwa ni 1. Mzee Kisharuli toka Singida lakini mkewe ni nesi sio mwalimu na mzee sio milionea. 2. Mzee Kiongoli (R.I.P) ambaye ni mtu wa Rufiji ila mke wake ndio mtu wa Singida na sio mwalimu. Huyu familia yake ni tajiri sana sasa hivi lakini sio kupitia mifugo.

Wazee hawa wawili mabucha yao yalifahamika na wakazi wote wa Kibaha.

Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kupata hekari 10,000!!! Mashamba yenye ukubwa unaokaribiana na huo Kibaha yaligawiwa mwishoni mwa miaka ya 80. Tungejua jina la kijiji ingesaidia kuhakiki. Mashamba mengi ya ufugaji yalikuwa maeneo ya Pangani ambako hakuna mtu anayefit hii description. Kuna ranch kubwa iko Mpiji lakini iinamilikiwa na polisi mstaafu na hafit kwenye hii description iliyotolewa.

Naomba nieleweke kuwa sijasema kuwa story sio ya ukweli ila ina gaps nyingi ambazo zinapunguza uhalisia wa kinachoandikwa.
 
watu wengi wanateseka leo kwa mawazo kama yako. Hivi unajua kwa malipo hayo familia ya huyo mtu inaishije?

Sio watu mwenyewe nimeteseka sanaaa kimaisha! Kazi yangu ya kwanza kutoka chuo i was paid 450,000/= A nigger gotta start somewhere!

Unlike you i didnt whine and cry like a baby, complainin n blamin everybody! Noooo!

Nilimshukuru tu alienipa ile kazi, na suluhisho I found a better job! Nilipopata nikaaga zangu vizuri tu, jamanii eeeeh, mi nimepata greener pasture naondoka kwa amani, ila bado nashukuru kwa wema wenu for seein somethin in me hata wakati nina 0 experiance.

Maisha ndivo yalivyo! YOU TAKE CARE OF YOURSELF! PERIOD!
 

Mhhhhhhhhhhh! Usilolijua litakusumbua! Uliza vizuri miaka ya tisini kulikuwa na MRADI wa wizara flani nyeti pale kibaha na watu walihamishwa toka wizarani kwenda kwenye huo mradi kusimamia. Chunguza wala sio siri.

Na kuhusu huyo mfugaji YUPO HAI! Mkewe bado anafundisha shule ya msingi hadi leo. Na wanauza maziwa mpaka kesho! Japo mteja wake mkubwa saivi ni Kiwanda. Na hekari alinunua 10,000 ndani ndani aliuziwa na serikali ya kijiji huko tena kulikuwa pori tupu.

Na yeye ni mfugaji wa kisasa wala hana bucha. Kibaha inaonekana waijua kwa nje, usione watu wako na mageti yao ukazani wenzio. Picha ya ndege pale pale watu wanalipa ada za US chezea.
 

Aah na we kafukie hyo miguu kama ni rahc namna hyo kama unavyosema....we baki hvyo hvyo tu "matajr wanajua jinsi walivyotoka.." badilisha mind set yako naona kama umeshajikatia tamaa mwenyewe....ukichukia umaskini nakwambia hutofikir jinsi unavyofikr but ukichukuliana nao lazma useme tu kuna wachache wanajua jinsi walivyotoka,kwann isiwe wewe??
 
Last edited by a moderator:

Mkuu MITIKI umenigusa nina eka ishirini na naendelea kuongeza,baadae watasema ooh fisadi
 
mbona unaponda sana waajiriwa, na wakati huo huo unahimiza watu wawekeze, je kwani hao wawekezaji hawatahitaji wafanyakazi (kufanya wengine watumwa wao kama wewe unavyowaita wafanyakazi kuwa ni watumwa). Mimi nikijua hii biashara ni yako huwezi kuniajiri kwa kuwa unafikiri waajiriwa ni watumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…