MKURABITA: Wasomi Kutoka Kimaisha Si Lazima Uwe Mchuuzi... Njia za Kisomi Ni Kama Hizi!

well said, congrats, kweli hatuwezi endelea kwa kulalamika we have to take a course of action so as the result to happen! people must change their thinking to change their lives!!
 
lala ur the best i wish nifike ofisini kwako ili tuongee business,manake kuna kama milioni 100 ninayo ila sijui pa kuipeleka i need a person like u to do business with
 

no ufugaji wa mombe wa nknko... ni kampuni kwa kwenda mbele..!! inawezekana ukwajza uajsirimali wakati tumbo halina kitu?!
 
Huyo wa Voda ni MAKI..............., Huyo mdau kama mchawi! Ana kampuni ya Makholding ya Malori, mahoteli, mambo kibaoooooo! Wachaga noma!!!!!!!Ila si wanasema maktech wako shares????????

(Kila mtu mjini namjua mimi!!!!!!!!! Nipunguze ushankupe)

Ina maana hata mimi unanijua teheeeeeeeee, teheeeeeeee, cheka Kimkapa.
 
honestly lara 1 ukiwa unaongelea haya mambo nakukubali sana kuliko yale ya wadada kuwakamua wanaume kule mmu,

thumb up kwa mara ingine
 
Last edited by a moderator:
Shukrani kwa huduma yako naomba uendelee kutoa episode zingine maana hii imeenda shule.
 
By they umeongea fact tupu mdada kama watu wanabisha watabisha kwa kuwa bado ni masikini wa fikra good.tunahitaji watu kama wewe wa kutoa elimu za maisha na sio za darasani maaana kama ni za darasani watu wanazo na hazijawasaidia.
 

Congratulation NIMEKUKUBALI WEWE SIO MTANZANIA WA KAWAIDA,,,, Big Up dada
 
wewe mkali lara1 mungu akubariki ila itabidi uanzishe firm yako kwa ajili ya kufungua vichwa vya watu cz kuna watu mpk washtuliwe kidogo ndo wanazinduka
 
In the same spirit ya kujikomboa lara 1, sijui unafanya nn ila nakushauru uwe motivational speaker/seminer part time/w'end utapata hela.... unakipawa cha kufikisha ujumbe katika lugha sahihi. I have it pictured...Lara Talk Agency...this Saturday Double Trees..theme; How to be your own boss...transform you potential into reality
Damage:TZS 30k. Sponsors abcde...Guest Speakter Dangote from Nigeria...lol
 
Last edited by a moderator:
huo ushankupe wako ndiyo unaokufanya unapata uzoefu kama huu na kushare na vijana wenzako wala usiuache!..

umetisha sana kume upo kote kote nilidhani wewe wa ukweli tu kwenye yale mambo yetu tu!..

Big up sana cster!...

Huyo wa Voda ni MAKI..............., Huyo mdau kama mchawi! Ana kampuni ya Makholding ya Malori, mahoteli, mambo kibaoooooo! Wachaga noma!!!!!!!Ila si wanasema maktech wako shares????????

(Kila mtu mjini namjua mimi!!!!!!!!! Nipunguze ushankupe)
 
Watanzania baadhi yetu wengi hatupendi kuambiwa ukweli. Kuna watu wamenyoosha miguu wakidhani maendeleo yatashuka kutoka mbinguni.kama sipendi kutoa mfano hai lakini wapo watu ninaowafahamu wameridhika na kazi zao za kuajiriwa za mshahara wa laki 3 kwa mwezi tena ni graduates hao na wana GPA 4.0!!! Guys hebu tuamke, kuna scholarship kibao zipo mitandaoni huku ila tunatumia mitandao sana ya kijamii kwa mambo yasiyo na msingi wala tija kwetu. Mtu anashinda facebook siku nzima kuchart na wanaume/wanawake akitafuta viburudisho. Hakuna mtu atakifata akuletee scholarship chumbani kwako, gangamala na hakuna kutudi nyuma, changamoto ni nyingi na ushindani ni mkubwa ila ni muhimu kujipa moyo na kuona kuwa inawezekana. Achana na imani potofu kuwa kila aliepata scholarship amehonga
 

Lara u are right,mimi baada ya A level sikuweza kupata chuo nilianza kufanya kazi za nguvu kwa miaka 4 hadi nikakusanya ada na kujipeleka chuo,nikamaliza nikapata kazi.Sikuishia hapo nikaunganisha Masters ikanisaidia kupanda cheo ofisin.

am currently doing my CPA hope to retire in the next 2 years and start my own firm as a consultant.
YOTE YAWEZEKANA NA WENGINE YAMETUKUTA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…