sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,008 Reaction score 8,788 Jul 12, 2023 #21 Lagertha said: Wamekurupuka sana, bila uchunguzi wa kina wanawavua tu madaraka wenzao waliyoyasotea miaka kenda kisa one video, hii sio sawa. Click to expand... Yaan mtu amepigwa radi na kufa eti polisi wanafanya uchunguzi ili kubaini chanzo cha kifo chake.
Lagertha said: Wamekurupuka sana, bila uchunguzi wa kina wanawavua tu madaraka wenzao waliyoyasotea miaka kenda kisa one video, hii sio sawa. Click to expand... Yaan mtu amepigwa radi na kufa eti polisi wanafanya uchunguzi ili kubaini chanzo cha kifo chake.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jul 12, 2023 #22 Aisee! Huenda hiyo hospitali haina kabisa facility ya usafishwaji wa vifaa tiba
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jul 13, 2023 #23 Michewen said: Unachunguza nini pale? Hapo Sasa wiki hii V8/VX toka wizarani (Afya, TAMISEMI, Fedha, ujenzi) toka Dodoma zitajaa kuchunguza. Ha ha ha Click to expand... Mln 500 zitatumika safari ya kufika hapo kivule hospitalini Ova
Michewen said: Unachunguza nini pale? Hapo Sasa wiki hii V8/VX toka wizarani (Afya, TAMISEMI, Fedha, ujenzi) toka Dodoma zitajaa kuchunguza. Ha ha ha Click to expand... Mln 500 zitatumika safari ya kufika hapo kivule hospitalini Ova
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Jul 13, 2023 #24 Nesi mkunga said: mie sie mtumwa kama wewe na mume wako Click to expand... Hakuna nesi ambae sio mtumwa acha kujimwambafy bint.
Nesi mkunga said: mie sie mtumwa kama wewe na mume wako Click to expand... Hakuna nesi ambae sio mtumwa acha kujimwambafy bint.
Nyani Bishoo JF-Expert Member Joined Jul 7, 2023 Posts 354 Reaction score 570 Jul 13, 2023 #25 Huyo Mkurugenzi Ni kiboko namfahamu Sana Shinyanga wapiga madili wamenyooka na Shy alianza kuanza kuipanga vizuri
Huyo Mkurugenzi Ni kiboko namfahamu Sana Shinyanga wapiga madili wamenyooka na Shy alianza kuanza kuipanga vizuri
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Jul 14, 2023 #26 Nesi mkunga said: Nani aliyekuambia mie ni nesi mbwa wewe? Click to expand... We nesi mkunga tuliza domo hilo, wewe mtumwa na utaendelea kuwa mtumwa nyambaf
Nesi mkunga said: Nani aliyekuambia mie ni nesi mbwa wewe? Click to expand... We nesi mkunga tuliza domo hilo, wewe mtumwa na utaendelea kuwa mtumwa nyambaf
Biggs JF-Expert Member Joined May 3, 2014 Posts 2,068 Reaction score 2,314 Jul 16, 2023 #27 Watu8 said: Aisee! Huenda hiyo hospitali haina kabisa facility ya usafishwaji wa vifaa tiba Click to expand... Most likely !! Maana hakuna anaependa kujiweka katika risk ya kupata maambukizi kupitia contaminated instruments/equipments !!
Watu8 said: Aisee! Huenda hiyo hospitali haina kabisa facility ya usafishwaji wa vifaa tiba Click to expand... Most likely !! Maana hakuna anaependa kujiweka katika risk ya kupata maambukizi kupitia contaminated instruments/equipments !!