Mkurugenzi amvua madaraka Mganga Mfawidhi hospitali ya Kivule

Mkurugenzi amvua madaraka Mganga Mfawidhi hospitali ya Kivule

Wamekurupuka sana, bila uchunguzi wa kina wanawavua tu madaraka wenzao waliyoyasotea miaka kenda kisa one video, hii sio sawa.
Yaan mtu amepigwa radi na kufa eti polisi wanafanya uchunguzi ili kubaini chanzo cha kifo chake.
 
Aisee!
Huenda hiyo hospitali haina kabisa facility ya usafishwaji wa vifaa tiba
 
Unachunguza nini pale? Hapo Sasa wiki hii V8/VX toka wizarani (Afya, TAMISEMI, Fedha, ujenzi) toka Dodoma zitajaa kuchunguza. Ha ha ha
Mln 500 zitatumika safari ya kufika hapo kivule hospitalini

Ova
 
Huyo Mkurugenzi Ni kiboko namfahamu Sana Shinyanga wapiga madili wamenyooka na Shy alianza kuanza kuipanga vizuri
 
Aisee!
Huenda hiyo hospitali haina kabisa facility ya usafishwaji wa vifaa tiba
Most likely !! Maana hakuna anaependa kujiweka katika risk ya kupata maambukizi kupitia contaminated instruments/equipments !!
 
Back
Top Bottom