Mkurugenzi Bahi amkabidhi Bi. Maseka milioni 2.6 kufuatia maagizo ya Waziri Mkuu

Mkurugenzi Bahi amkabidhi Bi. Maseka milioni 2.6 kufuatia maagizo ya Waziri Mkuu

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
MKURUGENZI BAHI AMKABIDHI BI. MASEKA MILIONI 2.6 KUFUATIA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bi. Albina William Mtumbuka, leo amemkabidhi Bi. Agnetha Maseka kiasi cha Shilingi milioni 2.6

Fedha hizo ni malipo ya madai ya huduma ya chakula pamoja na usafirishaji wa mizigo. Malipo hayo yanakuja baada ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kutoa agizo la kulipwa papo hapo leo tarehe 5 Septemba, 2026 wakati wa Mkutano wake wa hadhara.
 

Attachments

  • VID-20260906-WA0143.mp4
    26.1 MB
  • IMG-20260906-WA0137.jpg
    IMG-20260906-WA0137.jpg
    457.5 KB · Views: 16
  • IMG-20260906-WA0136.jpg
    IMG-20260906-WA0136.jpg
    423 KB · Views: 11
Kwahiyo mil2.6 ni mpaka waziri mkuu atoe agizo???

Walivyoagiza chakula na usafiri walitegemea ni vya Bure???

Bado huyo mkurugenzi atarudi ofisini???

Sio ajabu huyo mkurugenzi atarudia tena kukopa chakula na usafiri.
 
Back
Top Bottom