Mkurugenzi Bandari amtaja ‘mwizi’ wa makontena

Injinia...
Umesema una udhibitisho wa wizi wa PMM... naona ingekuwa vema sana wakati unaongea na huyo mwandishi ungemwambia hatua ambazo umeshawachukulia mfano umeshawapeleka mahakamani..etc etc Lakini hata leseni ya ICD bado wanayo hujawafutia... Are u serious Injinia Kakoko??
 
aaaaahh!! ati kuondoa vikwazo vya kutoa mizigo bandarini KUTOKA SIKU 15 HADI SIKU 30?
tafadhali mkuu rekebisha.
 
Huyo Mhaya hamiwezi, labda apambane na kina Kinana tu
 
Si walisema mizigo haijapungua? Na kwamba wanavuka lengo la makusanyo hapo bandarini? Sasa hii ya kwenda kubembeleza wafanyabiashara wa Kongo ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…