LUHAGA MPINA amewasilisha kwa umma hoja zenye kurasa 95 kuhusu suala la vibali vya sukari lakini nimesikiliza press ya bosi wa bodi ya sukari sijaona akijibu hoja badala yake kuruka ruka.
Hoja za Mpina ziko kwenye kurasa 95 tunaomba majibu ya hizo hoja kama ni za uongo au za kweli weka matrix hoja ya mpina unaweka ufafafuzi wa Bodi wa Sukari ili tuelewane.
Kama Mkurugenzi hujazipata hoja hizo nakuwekea hapa document ambazo watanzia wengi wanazo kwenye simu zao