Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Ni nyingi kwa cheo chake cha mkurugenzi, per month salary mkurugenzi anapokea 2.7
Hao wote ni majizi matupu.Ni nyingi kwa cheo chake cha mkurugenzi, per month salary mkurugenzi anapokea 2.7 mil....
Kabisa mkuu wanazichota mpaka wanachoka.Hao wote ni majizi matupu.
Hii jinsia ambayo tunawapa madaraka na hawana uwezo haya ndio majibu yake.View attachment 2954228
View attachment 2954236
Mkurugenzi wa Katavi aliyetumbuliwa jana na Mh. Samia Suluhu bibi Catherine Mashalla haikutolewa sababu, lakini kumbe ana kesi ya uhujumu uchumi na alikuwa sero mpaka wiki iliyopita ndio amepata dhamana kwenye hii kesi niliyoambatanisha.
Kiasi halisi alichotuhumiwa kupiga ni (TZS-1,232,408,689.0] Bilioni na ushee bibie Cathy unapeleka wapi ?
Yeye ndio huyo mshitaki wa Kwanza.Vyombo vyetu vya habari havia habari za kichunguzi, hakuna hata kimoja na ndio maana kila uchao namuomba sana kaka Pascal Mayalla arudi kwenye habari, atuletee za kichunguzi. Naamini ,mtu kama Mayala[Njaa] angeweza kutuambia sababu ya Pauli kushushwa Cheo, Sababu ya Jokate kushushwa cheo of which mtaani zimebaki sababu za kuhisia kwamba akina mama walilalamika hawawezi kuongozwa na mtu asiye na ndoa, asiyejua unyenyekevu kwa mume, mtu ambaye picha zake mtandaoni hata uki google hazifai hata kama ametubu nk.
Kwenye Picha Catherine ameva nguo ya Draft Draft, sijataja chama chake, ila nafikiri hana chama!
25 August 2023, 10:25 am
KATAVI
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Katavi imewafikisha mahakamani watumishi wa serikali 7 kwa makosa matatu ikiwemo wizi wa fedha zaidi ya bilioni 1.2.
Kelvin Mwaja ni mwanasheria kutoka taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru mkoa wa Katavi amesema kuwa watuhumiwa walitenda makosa hayo mwaka 2022 na 2023 .
Wakisomewa mashtaka yao Mara baada ya kufikishwa mahakamani mbele ya hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Katavi Gway Sumayi ambapo watuhumiwa hao ni Canuthe Hipolite Matsindiko (muhasibu) ,Michael Mathew Katanga (muhasibu), Masami Andrew Mashauri (muhasibu), tumaini Richard Misese , Maira Samson Oluomba muhasibu,Emmanuel Damas Salanga (muhasibu) na Laurent William Sunga.
Watuhumiwa wote wanakabiliwa na mashtaka ya kuunda genge la kiarifu,wizi wa fedha Zaidi ya bilioni 1.2 na utakatishaji wa fedha za serikali katika halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoani Katavi
Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Katavi Gway Sumayi amesema kuwa mahakama hiyo haina uwezo wa kutoa dhamana au kusikiliza kesi hiyo hivyo imepelekwa katika mahakama kuu ya kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa.
Kesi hiyo imesikilizwa tarehe 21 mwezi huu ambapo inatarajiwa kusikilizwa tena tarehe 04 mwezi 9 mwaka huu katika mahakama kuu ya kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa na wala rushwa hao wamepewa dhamana.
Veting officers wamepotelea wapiItakuwa umekosea kuandika hiyo hela, bilioni 1, 245,989,000 hata ukikusanya zote za hazina hazifiki.
Labda ulipaswa kusema Tshs: bilioni moja, milioni 245, laki 9 na 89 elfu).
Hawa ndio huwaambii kitu kuhusu CCMYes, makada hao, huyo yupo pembezoni mwa nchi ndio maana kapelekwa mahakamani, ukipitia ripoti ya CAG ingebidi kukodisha mawakili kutoka nchi jirani, kila idara kuna ufisadi, upo wazi na watu wametajwa, zinaachwa tu.
Kaka Pasko ana akili sana, kama si -undercover basi amesusia tu mambo ya habari ila ningekuwa ni mamlaka ya teuzi huyu Pascal Mayalla anafaa sana pale HABARI MAELEZO.Mayala alimaarufu njaa kama hakulamba uteuzi wa nafasi ya makonda ndo basi tena!!
Sasa, huyu ni sample, wakurugenzi tangu wannze kuteuliwa kutoika kwa makada badala elimu ndio imekuwa shida.Mwanamke kuwa mwizi haipendezi hawa wengi wao elimu haina msaada kwao...Kukaa ofisini kuedit templates na kufanya wizi ndio maisha yao
Sasa mnokota waimba "iyena iyena" wa Lumumba then unataka miujiza?Hii jinsia ambayo tunawapa madaraka na hawana uwezo haya ndio majibu yake.
Lakini watu wa vetting Huwa hawaoni haya Hadi Kupeleka majina Kwa Rais?View attachment 2954228
View attachment 2954236
Mkurugenzi wa Katavi aliyetumbuliwa jana na Mh. Samia Suluhu bibi Catherine Mashalla haikutolewa sababu, lakini kumbe ana kesi ya uhujumu uchumi na alikuwa sero mpaka wiki iliyopita ndio amepata dhamana kwenye hii kesi niliyoambatanisha.
Kiasi halisi alichotuhumiwa kupiga ni (TZS-1,232,408,689.0] Bilioni na ushee bibie Cathy unapeleka wapi ?
Yeye ndio huyo mshitaki wa Kwanza.Vyombo vyetu vya habari havia habari za kichunguzi, hakuna hata kimoja na ndio maana kila uchao namuomba sana kaka Pascal Mayalla arudi kwenye habari, atuletee za kichunguzi. Naamini ,mtu kama Mayala[Njaa] angeweza kutuambia sababu ya Pauli kushushwa Cheo, Sababu ya Jokate kushushwa cheo of which mtaani zimebaki sababu za kuhisia kwamba akina mama walilalamika hawawezi kuongozwa na mtu asiye na ndoa, asiyejua unyenyekevu kwa mume, mtu ambaye picha zake mtandaoni hata uki google hazifai hata kama ametubu nk.
Kwenye Picha Catherine ameva nguo ya Draft Draft, sijataja chama chake, ila nafikiri hana chama!
25 August 2023, 10:25 am
KATAVI
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Katavi imewafikisha mahakamani watumishi wa serikali 7 kwa makosa matatu ikiwemo wizi wa fedha zaidi ya bilioni 1.2.
Kelvin Mwaja ni mwanasheria kutoka taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru mkoa wa Katavi amesema kuwa watuhumiwa walitenda makosa hayo mwaka 2022 na 2023 .
Wakisomewa mashtaka yao Mara baada ya kufikishwa mahakamani mbele ya hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Katavi Gway Sumayi ambapo watuhumiwa hao ni Canuthe Hipolite Matsindiko (muhasibu) ,Michael Mathew Katanga (muhasibu), Masami Andrew Mashauri (muhasibu), tumaini Richard Misese , Maira Samson Oluomba muhasibu,Emmanuel Damas Salanga (muhasibu) na Laurent William Sunga.
Watuhumiwa wote wanakabiliwa na mashtaka ya kuunda genge la kiarifu,wizi wa fedha Zaidi ya bilioni 1.2 na utakatishaji wa fedha za serikali katika halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoani Katavi
Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Katavi Gway Sumayi amesema kuwa mahakama hiyo haina uwezo wa kutoa dhamana au kusikiliza kesi hiyo hivyo imepelekwa katika mahakama kuu ya kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa.
Kesi hiyo imesikilizwa tarehe 21 mwezi huu ambapo inatarajiwa kusikilizwa tena tarehe 04 mwezi 9 mwaka huu katika mahakama kuu ya kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa na wala rushwa hao wamepewa dhamana.
Mafisadi wakubwa Huwa hawafungwiDaaah bil 1 na milion mia mbili ......๐๐๐๐
Hakuna kushoto kwenye mambo ya serikali,pesa za hivyo ni zile Zinakusanya na Halmashauri haziwekwi kwenye mfumo ila ikishaingia tuu Huna jeuri ya kula hiyo hela.na katavi palivo kushoto kajipigia kama hakuna anaye mwona vile.
Unazodolewa na kupewa mifano.Mwisho wa siku kijana ambaye hajafanywa ufisadi anaonekana boya tu.
Wizi unapogiwa promo sana na jamii kwasabb ya ufisadi wa baadhi ya watu.
Vetting?Lakini watu wa vetting Huwa hawaoni haya Hadi Kupeleka majina Kwa Rais?
Ni vyema Rais akaanza na watu wa hicho kitengo, haiwekani mtu ana kesi ya uhujumu uchumi Bado anaendelea kuwepo kwenye Ofisi za Umma,hii sio sawa.
๐ฎ๐ฎHii jinsia ambayo tunawapa madaraka na hawana uwezo haya ndio majibu yake.
Ukifuatilia mpaka mwisho wa kesi, unaambiwa wameachiwa, sijui kifungu kilikosewa, watu wanatoka na bilioni yao.Kwa ujinga huu nitakuaje mzalendo? Never asilani abadani God forgive me indeed
Bora hao wengine ni Wanasiasa,Hawa watendaji vetting inakuwaga wapi? Huyu Ded Toka mwaka Jana alifikishwa mahakamani na Takukuru iweje ateuliwe?Unazodolewa na kupewa mifano.
Hebu fikiria mmiliki wa ile timu ya mpira
Vetting?
Paulo- Arusha.
Saa-mbaya-HAi. Huu
Catherine na wengine, kwahiyo unataka vetting iwe inafanyika pale Lumumba maana hawa wote ni wale wanaoshindwaga kura za maoni, unategemea kweli hawa watatufikisha pahala.
Ni kama vyombo vya habari havipo nchi hii.Kesi nyingi za ufisadi zipo mahakamani. Tatizo Sasa hivi kuna waandishi wa hovyo hazisikiki na Wala hawana habari wao kazi Yao ni kuandika habari za Zuchu na Diamonds,alafu hao hao waandishi ndio wanalalama kuwa serikali haichukui hatua