Mkurugenzi Catherine Mashala alitumbuliwa kwa kesi ya Ufisadi wa Tsh. Bilioni 1.245,989,000?

View attachment 2954228

View attachment 2954236

Mkurugenzi wa Katavi aliyetumbuliwa jana na Mh. Samia Suluhu bibi Catherine Mashalla haikutolewa sababu, lakini kumbe ana kesi ya uhujumu uchumi na alikuwa sero mpaka wiki iliyopita ndio amepata dhamana kwenye hii kesi niliyoambatanisha.
Kiasi halisi alichotuhumiwa kupiga ni (TZS-1,232,408,689.0] Bilioni na ushee bibie Cathy unapeleka wapi ?

Yeye ndio huyo mshitaki wa Kwanza.Vyombo vyetu vya habari havia habari za kichunguzi, hakuna hata kimoja na ndio maana kila uchao namuomba sana kaka Pascal Mayalla arudi kwenye habari, atuletee za kichunguzi. Naamini ,mtu kama Mayala[Njaa] angeweza kutuambia sababu ya Pauli kushushwa Cheo, Sababu ya Jokate kushushwa cheo of which mtaani zimebaki sababu za kuhisia kwamba akina mama walilalamika hawawezi kuongozwa na mtu asiye na ndoa, asiyejua unyenyekevu kwa mume, mtu ambaye picha zake mtandaoni hata uki google hazifai hata kama ametubu nk.

Kwenye Picha Catherine ameva nguo ya Draft Draft, sijataja chama chake, ila nafikiri hana chama!

25 August 2023, 10:25 am

KATAVI

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Katavi imewafikisha mahakamani watumishi wa serikali 7 kwa makosa matatu ikiwemo wizi wa fedha zaidi ya bilioni 1.2.

Kelvin Mwaja ni mwanasheria kutoka taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru mkoa wa Katavi amesema kuwa watuhumiwa walitenda makosa hayo mwaka 2022 na 2023 .

Wakisomewa mashtaka yao Mara baada ya kufikishwa mahakamani mbele ya hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Katavi Gway Sumayi ambapo watuhumiwa hao ni Canuthe Hipolite Matsindiko (muhasibu) ,Michael Mathew Katanga (muhasibu), Masami Andrew Mashauri (muhasibu), tumaini Richard Misese , Maira Samson Oluomba muhasibu,Emmanuel Damas Salanga (muhasibu) na Laurent William Sunga.

Watuhumiwa wote wanakabiliwa na mashtaka ya kuunda genge la kiarifu,wizi wa fedha Zaidi ya bilioni 1.2 na utakatishaji wa fedha za serikali katika halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoani Katavi

Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Katavi Gway Sumayi amesema kuwa mahakama hiyo haina uwezo wa kutoa dhamana au kusikiliza kesi hiyo hivyo imepelekwa katika mahakama kuu ya kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa.

Kesi hiyo imesikilizwa tarehe 21 mwezi huu ambapo inatarajiwa kusikilizwa tena tarehe 04 mwezi 9 mwaka huu katika mahakama kuu ya kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa na wala rushwa hao wamepewa dhamana.

DEDs wanawekwa pale kupiga hela na kuwapa waliowapigia debe kwa bi mkubwa. Toka aondolewe yule mwamba wa CCM tutarajie kusikia DEDs wengi wakiwa mahakamani
 
Mbona kuna wengine walioripotiwa wanasubiri kujadiliwa na bunge? Why?
Kamateni watoe maelezo haraka. Mnapo waacha wanaweza kushawishi wabunge wawili wenye ushawishi wakavuruga mjadala.
 
ccm ni genge la wezi. Kila sehemu watu wanapiga tu. Baadaye wanajifanya kufikishana mahakamani, halafu mwisho wa siku kesi inafutwa! Huku hela za walipa kodi nazo zikiwa zimeliwa.
Wizi wa timu Mara umerudi tena.Polisi wahangaike na hao waliopo wenye majina ya Mara hao.Kuna kipindi wizi ukitokea ofisi yeyote ya umma polisi walikuwa wanauliza hata kabla kuanza uchunguzi kuwa kuna watu wa Mara eneo la ofisi hiyo wizi ulipotokea au kitengo ulipotokea? Wakisema wapo wanaanzia kwao hao hao na walikuwa hawakosei wanawadala walikuwa wachongaji.michongo hasa ya kuibia serikali na Taasisi naona wameanza tena

Humo kwenye mashtaka naona kuna majina ya Mara kwenye hao washtakiwa wajikite hapo polisi
Kama huyo Mama kaiba atakuwa kasomeshwa na hao timu ya Mara.Walitulia muda naona wameibuka tena.
 
View attachment 2954228

View attachment 2954236

Mkurugenzi wa Katavi aliyetumbuliwa jana na Mh. Samia Suluhu bibi Catherine Mashalla haikutolewa sababu, lakini kumbe ana kesi ya uhujumu uchumi na alikuwa sero mpaka wiki iliyopita ndio amepata dhamana kwenye hii kesi niliyoambatanisha.
Kiasi halisi alichotuhumiwa kupiga ni (TZS-1,232,408,689.0] Bilioni na ushee bibie Cathy unapeleka wapi ?

Yeye ndio huyo mshitaki wa Kwanza.Vyombo vyetu vya habari havia habari za kichunguzi, hakuna hata kimoja na ndio maana kila uchao namuomba sana kaka Pascal Mayalla arudi kwenye habari, atuletee za kichunguzi. Naamini ,mtu kama Mayala[Njaa] angeweza kutuambia sababu ya Pauli kushushwa Cheo, Sababu ya Jokate kushushwa cheo of which mtaani zimebaki sababu za kuhisia kwamba akina mama walilalamika hawawezi kuongozwa na mtu asiye na ndoa, asiyejua unyenyekevu kwa mume, mtu ambaye picha zake mtandaoni hata uki google hazifai hata kama ametubu nk.

Kwenye Picha Catherine ameva nguo ya Draft Draft, sijataja chama chake, ila nafikiri hana chama!

25 August 2023, 10:25 am

KATAVI

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Katavi imewafikisha mahakamani watumishi wa serikali 7 kwa makosa matatu ikiwemo wizi wa fedha zaidi ya bilioni 1.2.

Kelvin Mwaja ni mwanasheria kutoka taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru mkoa wa Katavi amesema kuwa watuhumiwa walitenda makosa hayo mwaka 2022 na 2023 .

Wakisomewa mashtaka yao Mara baada ya kufikishwa mahakamani mbele ya hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Katavi Gway Sumayi ambapo watuhumiwa hao ni Canuthe Hipolite Matsindiko (muhasibu) ,Michael Mathew Katanga (muhasibu), Masami Andrew Mashauri (muhasibu), tumaini Richard Misese , Maira Samson Oluomba muhasibu,Emmanuel Damas Salanga (muhasibu) na Laurent William Sunga.

Watuhumiwa wote wanakabiliwa na mashtaka ya kuunda genge la kiarifu,wizi wa fedha Zaidi ya bilioni 1.2 na utakatishaji wa fedha za serikali katika halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoani Katavi

Hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Katavi Gway Sumayi amesema kuwa mahakama hiyo haina uwezo wa kutoa dhamana au kusikiliza kesi hiyo hivyo imepelekwa katika mahakama kuu ya kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa.

Kesi hiyo imesikilizwa tarehe 21 mwezi huu ambapo inatarajiwa kusikilizwa tena tarehe 04 mwezi 9 mwaka huu katika mahakama kuu ya kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa na wala rushwa hao wamepewa dhamana.

Andika jumla ya pesa vizuri. Ondoa neno bilioni au andika kwa maneno tu bila tarakimu.
 
Itakuwa umekosea kuandika hiyo hela, bilioni 1, 245,989,000 hata ukikusanya zote za hazina hazifiki.

Labda ulipaswa kusema Tshs: bilioni moja, milioni 245, laki 9 na 89 elfu).
Hata taifa tajiri la Marekani halina pesa kama hiyo! Hisabati ni mtihani mgumu kwa wengi ambao hawawezi kuandika kwa tarakimu au kwa maneno.
 
  • Kicheko
Reactions: G4N
Ni kweli huwa hawafungwi.

Huyo mama baada ya upigaji alihamishiwa Sumbawanga, alipishana na mtangulizi wake aliyetumbuliwa kwa upigaji vile vile.... ila cha ajabu Mtalitinya anadunda tena kapangiwa kazi nyingine.
Yupo wapi Mtalitinya? Mjanja-mjanja sana
 
Back
Top Bottom