Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Wamtengeneze tu huko sikuna wataalam kibao asilete dharau kusini sio watu wa kuchezea JPM mwenyewe anajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo utoke haitebo uje mpaka kwa wananchi uulize hakuna walimu waliojificha uku waje watoe ahadi kuwa Wana changia sh ngapi! Na wananchi wanajibu Hawa huku mheshimiwa wamejificha then unatolewa mkuku mkuku alafu unaambiwa ahidi apo kuanzia mifuko miwili ya cement sio mmoja na anataka ile ya 42.5 yaani kazinguaYupo sahihi
Kisiasa
Unapokuwa katika event kama hiyo unatamka chochote hata kama huna mpango wa kutoa chochote
Kamwe hawawezi kukemea au kulaani ujinga wa huyo mjinga mwenzao.Tamisemi nao wanasemaje hapo?
Waziri wa elimu anasemaje hapo?
Wanatumia kanuni gani lakini?
Kuchangia shughuli za maendeleo kimsingi ni Hiyari na Hakuna sheria ya Kumlazimisha mtumishi wa Umma au yoyote kuchangiaNdo utoke haitebo uje mpaka kwa wananchi uulize hakuna walimu waliojificha uku waje watoe ahadi kuwa Wana changia sh ngapi! Na wananchi wanajibu Hawa huku mheshimiwa wamejificha then unatolewa mkuku mkuku alafu unaambiwa ahidi apo kuanzia mifuko miwili ya cement sio mmoja na anataka ile ya 42.5 yaani kazingua
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwasisi wengine masikini jeuri ,Pala pale aliponirudishia cheo changu ningemjibu
" Ahsante nashukuru ,Ila hicho cheo bali nacho isije ikaonekana naishi kwasababu ya hicho cheo,Naomba umlete mwingine umkabidhi hicho cheo"
Kwanini utoe ahadi ya uongo?Kuchangia shughuli za maendeleo kimsingi ni Hiyari na Hakuna sheria ya Kumlazimisha mtumishi wa Umma au yoyote kuchangia
Kwa Kiongozi yoyote (Mfano huyu Mwl Mkuu) unapokuwa mbele ya hadhara kutotamka kitu cha kuchangia au kutamka maneno Mfano SINA, SICHANGII na mengineyo ni utovu wa Nidhamu kwa viongozi wa Juu yake
MIKUTANO YA KISIASA HUWA INAISHA KISIASA
Kabisa na ambao walichelewa kupita mbele wakati anawaita kawaambia anahitaji maelezo yao j3 asubuhi ya kwann yy anaita walimu mpooo? Wao wamekula kimya kwa wananchi huko wamejificha eti haiwezekan yy boss wao kachangia laki tano alafu wao wako pale wasitoe chochote wakti yy ndo mwajiri wao yaani ilikuwa km Vita! Yaan tutafika mbinguni tukiwa tumechoka Sana km kwa staili hiiKwanini utoe ahadi ya uongo?
Ukitoa ahadi ambayo huwezi kuitekeleza baadaye wakija kukusanya. Chao si nikujiletea matatizo tu,?
Kuamini,Unacho toa huna uhakika huna.
Ulitaka wananchi walie?Ila Wananchi wengi wa Tanzania ni vihiyo na wanachuki za kijinga mtu akidhalilishwa au kuvuliwa cheo mbele ya hadhara wao ni kushangilia tu