Nini usichoelewa? JF ni Social Media kama media zingine. Hujawahi kusoma Tweet za viongozi mbalimbali wakitoa misimamo juu ya mambo mbalimbali katika jamii?Kumlalamikia DED,hapa JF unasema ni mahali sahihi??
SawaNini usichoelewa? JF ni Social Media kama media zingine. Hujawahi kusoma Tweet za viongozi mbalimbali wakitoa misimamo juu ya mambo mbalimbali katika jamii?
Unataka niandike barua nipeleke posta nisubiri majibu?
Ujumbe utafika kwa DED Magu; na naamini ameshaupata, tena siyo yeye peke yake; na wengine wengi kwenye mnyororo wa mamlaka husika.
Magu in the news again.What is wrong with this District?
Kesho wikend njoo kisesa nikupekeke bujora kisha jion twende kulumba pub tule nyama choma nipm tu haina shidaNaona mkuu umeamua kuwawashia moto Magu, karibu hapa Isandula upate hata soda aiseee.
Mimi huifananisha kazi ya ualimu na upadre!Mkuu pole sana, kwenye kada ya ualimu kuna unafiki makubwa sana ,usipokuwa makini unakuwa mtu wa majungu majungu hadi unastaafu huna hata bati moja.kwa mwalimu anayejitambua kamwe hawezi kulilia ukuu wa shule.
Nimekuwa kwenye hii kada kuwa miaka sasa lakini nilichojifunza, walimu sisi ni watu wanafiki sana,mwalimu yuko radhi kumsema vibaya mwalimu mwenzake kwa mkuu wa shule au maafsa wa elimu ili tu apate ofa ya kusimamia mitihani ya taifa na ikiwezekana ateuliwe awe mkuu wa shule au afsa elimu kata.
Usipojipendekeza kwa mkuu wa shule, kusimamia mitihani utakusikia tu,mfano mzuri ni hapa kituoni kwangu,mkuu wangu ni Mungu mtu,usipomuanza kumsalimia hana taimu na wewe atakupita kama hakuoni,mkiwa kwenye vikao kazi yake ni kutishia walimu eti atawapa barua ya onyo kwa wale wote wenye kwenda kinyume na yeye vile anaamini,huu ni upuuzi makubwa.
Nilichojifunza walimu hatuna kazi mbadala ndio maana kila siku tunajipendekeza kwa matumaini ya kupata ofa,
Pole sana walimu,ila kikubwa tujitahidi tuwe na vipato mbadala hii itasaidia kuondoa majungu na chuki zisizo tija.
Mimi huwa hainiingia akilini mwanamme mzima kuuza sura kwa mwanamme mwenzangu ili tu nipewe ofa, huu ni upuuzi walimu tushituke,tutumie mishahara yetu ili kujipatia vipato mbadala
Picha ya Mwl Maganga tafadhali tuthaminishe pengine kuna vigezo vinambeba na swala la pili DED Magu DC ni me au Ke?Kifupi tu ni kwamba Mkoa wa Mwanza Elimu ipo nyuma sana Pita Kwimba na maeneo mengine ya maporini utakutana na Mauchafu kibao na hawa walimu wakuu wengi wao ni vichomi juzi juzi kuna mmoja almanusura atafune posho za wadau waliosaidia shughuli za uchaguzi (Hapa najua wana jf watachekelea[emoji23])ila ikashindikana na hiyo ilitokea Kwimba Nimalize kwa kushauri Mwalimu Maganga kama unanisikia uache mara moja kujifanya kayafa na ukasome vinginevyo tutakutoa kwa aibu kuliko sehemu yoyote uliyopata kuishi nyau jike weHai
Kwanza mimi siyo mwalimu, japo hutaamini; lakini hata kama ningekuwa mwalimu.
Haijalishi nimejiunga lini JF, haijalishi nimechangia mara ngapi; muhimu ni kwamba ninachoandika ni cha kweli, na ninachangia mijadala kama wewe ulivyochangia ili wahusika wachukue hatua kama mwanajamii.
Mwl. Mary Maganga alihamishwa kutoka Nyanguge kwenda Nyambitilwa kwa mgogoro na jamii.
Alihamishwa tena kutoka Nyambitilwa kuja Magu kwa mgogoro na jamii.
Kwa uongozi wake usiofaa, amesababisha watoto wawili kugongwa wakienda kuteka maji kwenye lambo.
Ana mgogoro na Kamati ya shule, mpaka wanakamati wamemsusia, kiasi kwamba hata ujenzi wa jengo jipya amesimamia peke yake. Kamati za shule zipo kimuundo wa wizara, siyo uamuzi wa DED, DEO, AEK, WEO wala mwalimu mkuu.
Anaongoza waalimu waliomzidi kitaaluma, hiyo inamfanya asijiamini na amekuwa kupeleka mashtaka mara kwa mara ofisi ya DEO na DED.
Ndivyo alivyo mwl. Mary Maganga unayesema ninamchora kila mara kwenye post zangu.
Huwezi kumsafisha kwa kuni-shoot mimi; hiyo ni historia aliyojitengenezea mwenyewe, haiwezi kubadilika.
Mama Maganga punguza hasira basi pumba zipi? bora umekuja mwenyewe hebu kasome buana sio unaleta ushangingi wako hapa nenda kasomeeeeunachoongea ni pumba tu hoja hapo hamna Et wana Magu
Wewe ni Mwalimu 100%Hai
Kwanza mimi siyo mwalimu, japo hutaamini; lakini hata kama ningekuwa mwalimu.
Haijalishi nimejiunga lini JF, haijalishi nimechangia mara ngapi; muhimu ni kwamba ninachoandika ni cha kweli, na ninachangia mijadala kama wewe ulivyochangia ili wahusika wachukue hatua kama mwanajamii.
Mwl. Mary Maganga alihamishwa kutoka Nyanguge kwenda Nyambitilwa kwa mgogoro na jamii.
Alihamishwa tena kutoka Nyambitilwa kuja Magu kwa mgogoro na jamii.
Kwa uongozi wake usiofaa, amesababisha watoto wawili kugongwa wakienda kuteka maji kwenye lambo.
Ana mgogoro na Kamati ya shule, mpaka wanakamati wamemsusia, kiasi kwamba hata ujenzi wa jengo jipya amesimamia peke yake. Kamati za shule zipo kimuundo wa wizara, siyo uamuzi wa DED, DEO, AEK, WEO wala mwalimu mkuu.
Anaongoza waalimu waliomzidi kitaaluma, hiyo inamfanya asijiamini na amekuwa kupeleka mashtaka mara kwa mara ofisi ya DEO na DED.
Ndivyo alivyo mwl. Mary Maganga unayesema ninamchora kila mara kwenye post zangu.
Huwezi kumsafisha kwa kuni-shoot mimi; hiyo ni historia aliyojitengenezea mwenyewe, haiwezi kubadilika.
Mimi ni mfanyabiashara, mzawa na mkazi wa Magu. Nina marafiki na ndugu zangu wengi ambao ni waalimu, wake kwa waume; nina wanangu wanasona shule ya msingi Magu, hivyo nina mawasiliano chanya pia na waalimu wa wanangu hapo shuleni hata maofisa wa idara ya elimu wilayani na mkoani pia; hivyo kupata taarifa za kikao cha DED Magu na waalimu wa Magu DC wawe wa msingi au sekondari kwangu siyo issue kubwa; I am connected, well informed.kwasisi wanafasihi wewe ni Mwalimu,
Ushahidi " DED ALIZUNGUMZA KWENYE KIKAO CHA SEMINA YA MITIHANI JE ULIPATAJE TAARIFA ZA NDANI YA KIKAO KAMA HUKUWEMO NDANI YA KIKAO NA MAONGEZI YA MULE BILA SHAKA HUENDA HUWA NI YA SIRI??"""
Mkuu picha ya Mwl. Mary Maganga ipo, lakini sidhani kama ni muhimu kuiweka hapa. DED wetu ni ME; very smart guy, msomi, married; I don't think he can indulge in such a dirty relationship to a married old woman who is nearly to retire within a year or two. DED wetu yuko vizuri kisiasa; sihitaji kusema zaidi kwenye uga huo.Picha ya Mwl Maganga tafadhali tuthaminishe pengine kuna vigezo vinambeba na swala la pili DED Magu DC ni me au Ke?Kifupi tu ni kwamba Mkoa wa Mwanza Elimu ipo nyuma sana Pita Kwimba na maeneo mengine ya maporini utakutana na Mauchafu kibao na hawa walimu wakuu wengi wao ni vichomi juzi juzi kuna mmoja almanusura atafune posho za wadau waliosaidia shughuli za uchaguzi (Hapa najua wana jf watachekelea[emoji23])ila ikashindikana na hiyo ilitokea Kwimba Nimalize kwa kushauri Mwalimu Maganga kama unanisikia uache mara moja kujifanya kayafa na ukasome vinginevyo tutakutoa kwa aibu kuliko sehemu yoyote uliyopata kuishi nyau jike we
Magu ndio kuna bata za kila aina jamaa.Kesho wikend njoo kisesa nikupekeke bujora kisha jion twende kulumba pub tule nyama choma nipm tu haina shida
Mishikaki alikua anajua kuchoma mzee bakari tu Magu nzima, hao wengine wanajaribu mkuu.Niko hapa kwa Igasha nakula mishikaki; karibu.
Ni kweli mkuu "Peramiho yetu" niliwahi kuandika kwa DED Magu kuhusu udhaifu wa baadhi ya watendaji wa idara yake ya elimu msingi ambao wamekuwa ni wapiga majungu, hasa Johari na Prisca ambao wanamlisha sumu DEO mpya Glory Mtui wakimpandikizia chuki dhidi ya waalimu ambao wao hawawapendi.Kuna mtu anaitwa Hagwila kamasikosei aliandika sana juu ya halmashaur hii inaonesha ina shida ya kiuongozi
Wahusika wachukue hatua
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Kwa taste yangu, mishikaki ya mzee Bakari haifikii kiwango cha ile ya Igasha; sijui muonjo wako. Kuna watu kila siku hawakosi kwa Yohana kula mishikaki, wanaipenda sana; lakini mimi niliishia kwenda kwa Yohana mara moja tu; sijawahi kwenda tena kula mishikaki hapo.....!! Dr. Remy Ongala aliimba "Kipenda roho hula nyama mbichi". Tusihukumiane kwa chakula, tumbo ni kwa chakula na chakula ni kwa tumbo; lakini ipo siku vyote vitatoweshwa.Mishikaki alikua anajua kuchoma mzee bakari tu Magu nzima, hao wengine wanajaribu mkuu.
Vipi Mwl Mary Maganga ameshastaafu?Kwa taste yangu, mishikaki ya mzee Bakari haifikii kiwango cha ile ya Igasha; sijui muonjo wako. Kuna watu kila siku hawakosi kwa Yohana kula mishikaki, wanaipenda sana; lakini mimi niliishia kwenda kwa Yohana mara moja tu; sijawahi kwenda tena kula mishikaki hapo.....!! Dr. Remy Ongala aliimba "Kipenda roho hula nyama mbichi". Tusihukumiane kwa chakula, tumbo ni kwa chakula na chakula ni kwa tumbo; lakini ipo siku vyote vitatoweshwa.
Unamkumbuka kila sehemuVipi Mwl Mary Maganga ameshastaafu?