Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 881
- 2,569
Jana nimeingia Mwanza na kupokelewa Airport ili niende niendako.
Ajabu niliyokutana nayo ni baada ya kufika Pasiansi na kufuata barabara ya kuelekea Lumala hadi Kiseke.
Barabara .
Hii barabara ambayo Ina umuhimu wa Aina yake kama escape route kuwapo na msongamano katika Makongoro road (Airport road) na pia inao watumiaji wengi wenye magari na ni walipa kodi lakini utadhani ni barabara ya kupitishia Ng'ombe waendao mnadani naiko katikati ya jiji.
Imelalamikiwa miaka kadhaa hata RC Mwanza anaijua vizuri lakini pamoja na serikali kutenga pesa nyingi lakini Mkurugenzi wa Ilemela hakuna afanyacho na Hao Madigan wake ni kama mifugo tuu.
Sasa Kuna sababu gani ya kuwa na Mkurugenzi wa Aina hii katika utumishi?