Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,886
- 2,231
Kwa kutumia busara tu,, Afisa Mwandikishaji/Karani/Msimamizi wa uchaguzi itamkwe wazi kwamba atahakikisha anapokea fomu iliyokamilika sawa na cashier wa bank, kwamba amsaidie mgombea kuijaza kwa usahihi ndipo apokee. Na wote waliogombea wenye sifa za msingi za elimu, uraia, afya, kutofungwa ieleweke wanastahili kugombea, wapitishwe.
Tatizo letu muda wote wengi wetu hufurahia maovu yanayofanyika. Na mbaya zaidi katika hili wahusika wote husahau hata dini zao, hawaoni kama ni makosa na ni dhambi kwa Mungu wetu.
Tatizo letu muda wote wengi wetu hufurahia maovu yanayofanyika. Na mbaya zaidi katika hili wahusika wote husahau hata dini zao, hawaoni kama ni makosa na ni dhambi kwa Mungu wetu.