C-C Digital Pro
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 361
- 532
For Promo only.
View: https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=WFtATkgwuApVX0J3
Kwa Mara ya kwanza Abdiel Mengi kukutana na Civilian-Coin ilikuwa mwaka 2003 katika studio za Backyard record zilizokuwa namanga Kona(DSM) ambapo Bw. Abdiel Mengi alikuwa mmiliki wa studio na Civilian-Coin aligongewa beat na marijani na vocal na mixing ikafanywa na Hingi katika wimbo Nimepata demu ambao alimshirikisha Braxton wa kundi la Wajaleo. Kipindi hicho Civilian-Coin alijulikana Kama "Masqo" Nick name aliyoiacha tangu mwaka 2007, Leo Civilian-Coin anahatua zingine. Je, Abdiel Mengi atashindwa kumuokoa Msanii wake wa zamani aliyejizaa upya na kuwa Civilian-Coin. Ngoma mbili zinahitaji msaada wa promotion kutoka. Studio zote za ipp media ambazo ni Home boy na Who am I? ..
View: https://youtu.be/SkLvVyZveTI?si=Hp4YiIGizun_SCQd