C-C Digital Pro
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 361
- 532
Nywele kama mwendawazimu
Not for sale.For Promo only.
HahahaMwanetu hizo nyimbo zako mimi huku sina mbavu kudadek
TusubiriTayari umeshashinda
Naona wadada humu wanakuanzishia nyuzi kabisa
Oya mwana huo wimbo namba 6, I look for a girl, kama vipi tufanye collabo. Kuna manzi yangu fulani hivi miyeyusho nataka kumuimbia. Mimi nitakuwa nafokafoka, halafu wewe unaimba verse.View attachment 3624318
For Promo only.
View: https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=WFtATkgwuApVX0J3
Kwa Mara ya kwanza Abdiel Mengi kukutana na Civilian-Coin ilikuwa mwaka 2003 katika studio za Backyard record zilizokuwa namanga Kona(DSM) ambapo Bw. Abdiel Mengi alikuwa mmiliki wa studio na Civilian-Coin aligongewa beat na marijani na vocal na mixing ikafanywa na Hingi katika wimbo Nimepata demu ambao alimshirikisha Braxton wa kundi la Wajaleo. Kipindi hicho Civilian-Coin alijulikana Kama "Masqo" Nick name aliyoiacha tangu mwaka 2007, Leo Civilian-Coin anahatua zingine. Je, Abdiel Mengi atashindwa kumuokoa Msanii wake wa zamani aliyejizaa upya na kuwa Civilian-Coin. Ngoma mbili zinahitaji msaada wa promotion kutoka. Studio zote za ipp media ambazo ni Home boy na Who am I? ..
View: https://youtu.be/SkLvVyZveTI?si=Hp4YiIGizun_SCQdView attachment 3624321View attachment 3624322View attachment 3624323
View attachment 3624326
Si ndo usanii JamaniNywele kama mwendawazimu
Bc usanii ni uwendawazimuSi ndo usanii Jamani
Si ndo usanii Jamani
msanii mkubwa sana kutoka afrika ya mashariki na afrika mzima....View attachment 3624318
For Promo only.
View: https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=WFtATkgwuApVX0J3
Kwa Mara ya kwanza Abdiel Mengi kukutana na Civilian-Coin ilikuwa mwaka 2003 katika studio za Backyard record zilizokuwa namanga Kona(DSM) ambapo Bw. Abdiel Mengi alikuwa mmiliki wa studio na Civilian-Coin aligongewa beat na marijani na vocal na mixing ikafanywa na Hingi katika wimbo Nimepata demu ambao alimshirikisha Braxton wa kundi la Wajaleo. Kipindi hicho Civilian-Coin alijulikana Kama "Masqo" Nick name aliyoiacha tangu mwaka 2007, Leo Civilian-Coin anahatua zingine. Je, Abdiel Mengi atashindwa kumuokoa Msanii wake wa zamani aliyejizaa upya na kuwa Civilian-Coin. Ngoma mbili zinahitaji msaada wa promotion kutoka. Studio zote za ipp media ambazo ni Home boy na Who am I? ..
View: https://youtu.be/SkLvVyZveTI?si=Hp4YiIGizun_SCQdView attachment 3624321View attachment 3624322View attachment 3624323
View attachment 3624326
Swaga hizo 😅Bc usanii ni uwendawazimu
C_c daily newsView attachment 3624318