Safi iwe fundisho kwa wengine wamezidi hao watumishi wa Halmashauri, wanachowazaga ji uwizi tu siyo kaziMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mkoa, Misana Majula katika kesi ya jinai namba 5546 ya mwaka 2024 iliyowakabili watumishi 11 wa serikali, wakiwemo maofisa kutoka idara ya fedha ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
Kwa mujibu wa hukumu hiyo, Msabila pamoja na Ofisa Uchumi wa manispaa hiyo Ferdinand Filimbi, Kaimu Mweka Hazina Salum Juma na Frank Nguvumali wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kughushi nyaraka.
Aidha, Msabila na Juma wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la utakatishaji fedha baada ya kutiwa hatiani kwa kuhusika kutaka kujipatia fedha isivyo halali kiasi cha Sh milioni 463.5.
View attachment 3450010
We ni mwehu km wehu wengine, umesahau kina Mramba, na yule mchaga aliyekuwa kamishna wa TRA naye umemsahau, mchaga ht akijinyea atajisifu, sifa za kipumbavuUkiona mnapiga dili na hakuna Mchaga achana nalo, huwezi kupata Mchaga akafanya dili ambalo anajua backfire itakuwa shida
Kidagaa kimeonewa, mapapa akina Rostam wanaongoza nchi johnthebaptistMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mkoa, Misana Majula katika kesi ya jinai namba 5546 ya mwaka 2024 iliyowakabili watumishi 11 wa serikali, wakiwemo maofisa kutoka idara ya fedha ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
Kwa mujibu wa hukumu hiyo, Msabila pamoja na Ofisa Uchumi wa manispaa hiyo Ferdinand Filimbi, Kaimu Mweka Hazina Salum Juma na Frank Nguvumali wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kughushi nyaraka.
Aidha, Msabila na Juma wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la utakatishaji fedha baada ya kutiwa hatiani kwa kuhusika kutaka kujipatia fedha isivyo halali kiasi cha Sh milioni 463.5.
View attachment 3450010
Mambo ya jela na hospitali ni kama maji.Tegemea lolote.Inasikitisha sana
Aisee!Ungemsifu na yeye kwa komenti yake afurahie life!W
We ni mwehu km wehu wengine, umesahau kina Mramba, na yule mchaga aliyekuwa kamishna wa TRA naye umemsahau, mchaga ht akijinyea atajisifu, sifa za kipumbavu
Kwa kwelii yetu macho 👀Mambo ya jela na hospitali ni kama maji.Tegemea lolote.
Utasikia awamu ya 6 imejaa mafisadi wakati awamu ya 5 ilijaa majizi na haikuwahi mfunga hata mmja.MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mkoa, Misana Majula katika kesi ya jinai namba 5546 ya mwaka 2024 iliyowakabili watumishi 11 wa serikali, wakiwemo maofisa kutoka idara ya fedha ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
Kwa mujibu wa hukumu hiyo, Msabila pamoja na Ofisa Uchumi wa manispaa hiyo Ferdinand Filimbi, Kaimu Mweka Hazina Salum Juma na Frank Nguvumali wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kughushi nyaraka.
Aidha, Msabila na Juma wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la utakatishaji fedha baada ya kutiwa hatiani kwa kuhusika kutaka kujipatia fedha isivyo halali kiasi cha Sh milioni 463.5.
View attachment 3450010
Hatujadili awamu.Awamu mpelekee Lucas Mwashambwa aitungie waraka.Utasikia awamu ya 6 imejaa mafisadi wakati awamu ya 5 ilijaa majizi na haikuwahi mfunga hata mmja.
Huyu ni DED wa 3 au 4 kufikishwa kizimbani awamu hii na wote waliiba hela awamu ya 5Hatujadili awamu.Awamu mpelekee Lucas Mwashambwa aitungie waraka.