Mkurugenzi Manispaa Iringa Kunani? Mji umekuwa mchafu na viongozi hawajali

Mkurugenzi Manispaa Iringa Kunani? Mji umekuwa mchafu na viongozi hawajali

kasanga70

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
222
Reaction score
515
Wasalaam

Miaka michache ilikuwa ukiingia mkoa Wa Iringa utakuta mji ni msafi hadi unavutia. Hili Leo ni story. Wiki nzima nimekuwepo Iringa hususan stendi ya zamani, inasikitisha.

Matakataka kila kona. Uchafu umetapakaa, stendi mabarabarani no body cares. Hata maeneo ya wazi kabisa ni hatari uchafu kila mahali.

Madampo kuanzishwa barabarani hii ndio hata sisemi maana ni mbaya kuliko. Tupaze sauti mji wetu unaharibiwa naona viongozi ni bata tu hakuna jipya tena
 
Iringa Manispaa hakuna Mkurugenzi bali kuna Kaimu Mkurugenzi.

Nenda ofisini Manispaa ukawaeleze kero yako
 
Picha picha picha mkuu sasaivi watakuita mganga njaa
 
Back
Top Bottom