johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
tutumie vigezo vipi ili wewe ulidhike kwamba chama chalo sisiemu ni watu wa hovyoMeya Jacob wa manispaa ya ubungo amesema yeye bado ni mwanachama halali wa Chadema na kwamba mkurugenzi wa manispaa hiyo ametumia katiba ya zamani ya Chadema ambayo ilishafanyiwa marekebisho kumuengua.
Bonny anasema aliletewa barua ya kufukuzwa umeya jana Jumapili saa 3 usiku nyumbani kwake.
Source Clouds tv
Rip Mchungaji Dr Mitimingi wa WCC!
Sijaelewa vizuri,mkurugenzi na katiba ya Chadema wapi na wapi? Au Chadema walimfukuza mwanachama wao kwa katiba ya zamni? Lakini kama amevuliwa uanachama basi mkurugenzi yupo sawa.Meya Jacob wa manispaa ya ubungo amesema yeye bado ni mwanachama halali wa Chadema na kwamba mkurugenzi wa manispaa hiyo ametumia katiba ya zamani ya Chadema ambayo ilishafanyiwa marekebisho kumuengua.
Bonny anasema aliletewa barua ya kufukuzwa umeya jana Jumapili saa 3 usiku nyumbani kwake.
Source Clouds tv
Rip Mchungaji Dr Mitimingi wa WCC!
huyu bwana anatuaibisha sana nje ya nchi. watu wanasema kama kiongozi wanaomuamini yuko hivi anaowaongoza watakuajeKitakachofuata hapo ni tamko la Msajiri wa Vyama vya Siasa kutangaza kuitambua katiba ya zamani ya CHADEMA na kuleta hoja kwamba, katiba ya sasa ya CHADEMA ni batili!
Ni aibu sana kuwa raia wa taifa la hovyo kama Tanzania ya Magufuli!
Bado haitasaidia sababu hata aliyeiandika hiyo barua ya kumfukuza uanachama siyo kiongozi na hakukuwa na kikao chochote kile cha kumjadili.Kitakachofuata hapo ni tamko la Msajiri wa Vyama vya Siasa kutangaza kuitambua katiba ya zamani ya CHADEMA na kuleta hoja kwamba, katiba ya sasa ya CHADEMA ni batili!
Ni aibu sana kuwa raia wa taifa la hovyo kama Tanzania ya Magufuli!
Wakati huo wewe sio mwanchi siyo? kama ni mwananchi na wewe ni miongoni mwa wananchi wapumbavu!Nchi ya kipumbavu, viongozi takataka mapapai.
hiyo haitoshi hata muhusika ameikana hiyo barua na kaandika barua ya kuikana. ajabu mkurugenzi huyu bado yupo kazini. jambo la kumtoa meya madarakani ni jambo zito sana. ni jambo linalohitaji consultation na maamuzi ya kitaasisi. jiulize mkurugenzi aliwezaje kumchukua hatua bila hata ya kuwasiliana na katibu mkuu wa chademaBado haitasaidia sababu hata aliyeiandika hiyo barua ya kumfukuza uanachama siyo kiongozi na hakukuwa na kikao chochote kile cha kumjadili.
Wakuu wa nchi hata kama mnaabudu miti, majini, mawe au Mungu wa mbinguni hebu msifanye migumu mioyo yenu mlitazame na Hilo kuwa na muijue kuwa Ni dhambi Kama zingine. Juzi tu tumetoka kufunga siku tatu za Toba na maombi maalumu, leo tunafanya matakatka Kama haya huku kumuonsha nguruwe? Ni Toba gani tunafanya wakati mikakati miovu hatujaadhimia kuiacha? Mungu wa mbinguni awaguse kwa upya muitambue dhambi hii ya unyanyasaji wa watu wasio na hatia. Najua pengine raise na cabinet yako mko bze na korona wahuni wanakuharibia huku chini hata hayo mafungo unayoyafanya huko Chato yanaweza kunajisiwa na wateule wako. Hebu waguse waache kunajisi maombi yako Mkuu.Meya Jacob wa manispaa ya ubungo amesema yeye bado ni mwanachama halali wa Chadema na kwamba mkurugenzi wa manispaa hiyo ametumia katiba ya zamani ya Chadema ambayo ilishafanyiwa marekebisho kumuengua.
Bonny anasema aliletewa barua ya kufukuzwa umeya jana Jumapili saa 3 usiku nyumbani kwake.
Source Clouds tv
Rip Mchungaji Dr Mitimingi wa WCC!
Mkurugenzi alitakiwa ajiridhishe kama matakwa ya kisheria yalizingatiwa ndipo alipotumia katiba ya zamani ilhali ofisini kwake ana copy ya katiba mpya.Sijaelewa vizuri,mkurugenzi na katiba ya Chadema wapi na wapi? Au Chadema walimfukuza mwanachama wao kwa katiba ya zamni? Lakini kama amevuliwa uanachama basi mkurugenzi yupo sawa.
Lakini mkurugenzi si aliletewa barua na viongozi wa kata wa Cdm ambao ndio walimtimua meya? Hao ndio wanamakosa kwa kumtimua meya kwa kutumia katiba ya zamani. Inabidi warudie kikao ili wamtimue kihalali.Mkurugenzi alitakiwa ajiridhishe kama matakwa ya kisheria yalizingatiwa ndipo alipotumia katiba ya zamani ilhali ofisini kwake ana copy ya katiba mpya.
Sasa haileweki vizuri kama ni nani anamhujumu meya.
Katibu mkuu wa Chadema JJ Mnyika atatimba ofisini kwa mkurugenzi wakati wowote kuanzia sasa kumpa darasa la siasa.
Siasa siyo Uadui!
Labda.Lakini mkurugenzi si aliletewa barua na viongozi wa kata wa Cdm ambao ndio walimtimua meya? Hao ndio wanamakosa kwa kumtimua meya kwa kutumia katiba ya zamani. Inabidi warudie kikao ili wamtimue kihalali.