Mkurugenzi Manispaa Ubungo amfukuza Meya Jacob kwa kutumia katiba ya zamani ya CHADEMA ambayo haitumiki

Mkurugenzi Manispaa Ubungo amfukuza Meya Jacob kwa kutumia katiba ya zamani ya CHADEMA ambayo haitumiki

Hivi kweli tumekuwa wajinga namna hii,Kwa nini tusikiwashe moto,tupigane harafu watakaosalimika waheshimiane?ni vema tupasuane chadema na ccm,hawa ccm ni mashetani wametuzoea sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ndio NDEZI waliondaliwa na ndio tumaini KUU la lumumba katika uchaguzi mkuu oct 2020. Bila ya hao hatawao wanajua KABISA hawatopita hata wakijifukiza kwa majani ya mlenda pori.
TUSHIKAMANE Mungu yupo safari hii WATADHIBITIWA vizuri zaidi. AMEN
 
Hapa kilichobaki nikuagiza supu ya mkojo maana kama nyungu imegonga mwamba na case ziko elf 600k + vifo 5k
 
Kama CCM wote wana akili kama za huyo DED wa Ubungo basi majanga!!! yaani anapokea barua haina hata mihuri,hajafanya hata uhakiki kujua kama barua ni genuine yeye anakurupuka na kumfukuza meya!!
 
Lakini mkurugenzi si aliletewa barua na viongozi wa kata wa Cdm ambao ndio walimtimua meya? Hao ndio wanamakosa kwa kumtimua meya kwa kutumia katiba ya zamani. Inabidi warudie kikao ili wamtimue kihalali.
Ni wajibu wa mkurugenzi kujiridhisha na jambo lolote linalofikishwa ofisini kwake kabla ya kuchukua hatua. Haiwezekani unaletewa barua yenye tuhuma dhidi ya mtu mwenye cheo cha meya na wewe kukimbilia kuifanyia kazi bila hata kushauriana na mwanasheria wa ofisi yako kisa tu unataka kumfurahisha aliyekuteua.
 
hiyo haitoshi hata muhusika ameikana hiyo barua na kaandika barua ya kuikana. ajabu mkurugenzi huyu bado yupo kazini. jambo la kumtoa meya madarakani ni jambo zito sana. ni jambo linalohitaji consultation na maamuzi ya kitaasisi. jiulize mkurugenzi aliwezaje kumchukua hatua bila hata ya kuwasiliana na katibu mkuu wa chadema

Utakuta huyo mkurugenzi alipewa maagizo na Bashite.
 
Back
Top Bottom