ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Za kenya zinapatikana j3 mpaka ijumaa
Hata za Sudani Kusini zinapatikana masaa yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za kenya zinapatikana j3 mpaka ijumaa
Alyepigwa chini ni wa UDART. Kabla ya kwenda UDART aliwahi kuwa DG wa LATRA. Somebody Ngewe.Huyu si ndio keshapigwa chini!
Huwa wanakuwa kazini siku ya kutangaza nauli mpya za mabasi tu.LATRA mbona wapo Magufuli pale ghorofa ya kwanza. Ama siku hiyo hawakuwa kazini?
Mmm umechafukwaMkurugenzi mkuu CPA Habibu Suluo hizo namba zenu tajwa hapo juu hazina msaada toa namba zako za mkononi, unaogopa kusumbuliwa wakati uko kutumikia watanzania? Hizo namba ukipiga kuna vijana hupokea hawana msaada zaidi ya kukuudhi zaidi. Kwa mfano wanakujibu mpigie meneja wa mkoa wako, kwanza huna namba ya huyo meneja wa mkoa wako, pili wamezitoa za nini? Kujikosha kwa Rais.
Tatizo lingine kubwa naloona kuhusu matatizo yanayowapata wananchi kutoshughulikiwa ni waziri mwenye dhamana. Profesa Makame Mbarawa zaidi ya kujishughulisha na miradi ya wizara hajishughulishi kufuatilia matatizo ya wananchi yeye huhangaika na miradi ya wizara.
Mheshimiwa Rais kama unampenda sana kwasababu ni mzanzibari mwenzio mpeleke wizara nyingine au muundie wizara yake na iitwe wizara ya Miradi ya Serikali. Waziri pekee aliyeifaa hii wizara hii ni Dr. Harrison Mwakyembe, yule bwana aliiweza hii wizara. Tuletee mtu kaliba ya Mwakyembe, kwanza mhe Rais unajua nauli tunayopigwa? Pamoja na kwamba nauli imeongezwa mara 2 ndani ya mwaka 1 tendo ambalo halijawahi kutokea nchi hii wenye mabasi wamejiongezea zaidi ya nauli ya Serikali.
Kwa mfano nauli ya Arusha-Babati inatakiwa iwe sh. 8,000 mabasi yanachaji sh. 10,000, hili ongezeko la karibu asilimia 100 maana mwaka juzi nauli ilikuwa sh. 6,000. Wazanzibari mnatupeleka wapi sisi wabara? Kule kwenu hakuna haya. Mambo haya yanaleta hisia mbaya sana, huyu mzanzibari hatufai ktk hii wizara matatizo yetu hayamgusi. TULETEE MWAKYEMBE au anayefanana naye tumechoka wenye mabasi wanatutesa utafikiri hakuna serikali.
Wakati wenzetu wana chama.cha wamilikI wa mabasi Ila serikali inaona Sawa tuu kwasababu zao za kujilinda kisiasa kwa abiria kukosa chama.cha kuwateteaWatanzania hatuna mtetezi.
Mtetezi wetu Alisha kufa pale chato. SASA hivi ni kilio kila Kona.
Anyway tutafika tuu
Kuna taboaWakati wenzetu wana chama.cha wamilikI wa mabasi Ila serikali inaona Sawa tuu kwasababu zao za kujilinda kisiasa kwa abiria kukosa chama.cha kuwatetea
Mwaka jana mwanzoni nilikuwa naenda Mpanda mkoani Katavi na kampuni moja ya Bus. Kufika Sikonge, Tabora, saa 3 usiku tukazuiwa eti hakuna kuendelea na safari mpaka asubuhi. Traffic anayetuzuia tukitaka kujua sababu hana maelezo, eti ni maagizo toka juu. Abiria tukapeana zamu kupiga hizo namba, kumpigia RPC Tabora, RC Tabora nk hao jamaa kiukweli ni wasumbufu sana maana hawapokei simu na wakipokea hawana msaada. Inatakiwa hizi namba ziwe na mfumo wa ku record taarifa na kujua ni hatua gani zimechukuliwa. Nimeona Tanesco Morogoro, pamoja na changamoto zao, wana huu mfumo, yaani ukipiga simu kuelezea tatizo, muda mfupi baadaye unapata msg ya kumbukumbu. Then wataendelea kukupigia mpaka useme kero imefanyiwa kazi au laa. This is something good Kwa wengine kuiga.Sijui hizi namba huwa za nini? Utashangaa jitu lina simu, ila limezima. Wale LATRA enzi zile wakiwa SUMATRA, walikuwa na zamu ya kushika simu baada ya mida ya kazi. Sijui utaratibu wa sasa umekaaje.
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji122][emoji122][emoji122]Kuhusu namba za simu zilizonyingi ni FAKE. Ukipiga hakuna anayepokea au akipokea unapata majibu ya HOVYO. Wanaziweka kwaajili ya kuwafurahisha mabosi wao. KATIKA hili la namba za simu TUWAPONGEZE TANESCO. Ukiwapigia wanakuelekeza vizuri. Namba za simu za TANESCO tu ndo msaada.
Mkuu next time chukua chuma hichooo...LATRA ni wapuuzi sana..jaribu kuwaza kituo kikubwa kama Magufuli hawana ofisi yao. Juzi naenda Kigoma na Basi la kwanza la SARATOGA tulikuwa tutoke Magufuli saa 9 kamili tukaondoka saa 10 na nusu. LATRA hawapo kuwapa malakamiko.
Labda wanakuja ofisini saa moja na nusu asubuhi, wakati inatakiwa wawepo usiku kucha...LATRA mbona wapo Magufuli pale ghorofa ya kwanza. Ama siku hiyo hawakuwa kazini?
I agree with you... Kwa kumbukumbu zangu mifumo ilijifia rasmi awamu ya tano. Hii ni kwa sababu huko nyuma maafisa wa ngazi husika ndiyo walikuwa wanasukumwa kutoa huduma kwa jamii. Unakuta afisa afya wa kata, afisa maendeleo wa kata, afisa mifugo, afisa biashara, kilimo nk wako bize huko mitaani na mabosi wao wanawafuatilia. Baadae ikawa mara DC anakagua soko, mara RC anakagua ujenzi wa shule au barabara, mara waziri from Wizarani hukoo kaja kukagua mradi wa maji au kufuatia upungufu wa sukari. Hao viongozi wa juu imefikia sasa wao ndiyo kama watendaji wa day to day activities huko kwenye halmashauri na manispaa. Nimeona juzi clip mitandaoni huko Handeni wafanyabiashara hawamtaki afisa wa TRA wa eneo lao na amekuja DC kutatua. Sasa unajiuliza wapi afisa biashara na DED wa eneo hilo ambao ndiyo wataalamu zaidi ya DC? Hali hii imefanya watendaji huko chini, kwanza kupoteza kujiamini kwenye kazi zao lakini pili kuona kwamba wanaingiliwa na hivyo hawajitumi tena. Hatuwezi kuendesha nchi kubwa kama Tanzania kwa kutegemea watu wachache kutoka Dodoma au Dar au RC/DC... Lazima turudishe mifumo ambapo DED atamuagiza mkuu wa idara, naye mkuu wa idara ataishusha mpaka kwa msaidizi wake ngazi ya kata na vijiji.Mkuu. Matatizo yetu makubwa ni total system collapse. Serikali ni kama imekufa ndiyo maana watu wanalilia watu wa ngazi za juu, ambao hawakutakiwa kusikiliza matatizo ya wananchi face to face wafanye hivyo. Bila ku-restore system kwa kuandika katiba mpya ni bure.
Mkuu acha kuzarau kongoro,pale Wallet Pub, Kihonda Morogoro Kuna kongoro matata sana inauzwa na ndizi ya kuchemsha..Customer service Tanzania Ni rubbish.
Nenda wizara yoyote, Kama umekula kongoro unaweza kuwatapikia. Nenda kampuni za simu utajibiwa na mitambo Hadi uite maji nya. Sasa njoo DSTV.
CUSTOMER SERVICE YA DSTV NI NONSENSE.
Duuuh kumbe.. Sasa kapelekwa aliyewahi kuwa DG wa TTCL, yaani hii DART ni fupa la nyati mzee maana hata waje fisi hawaliwezi...Alyepigwa chini ni wa DART. Kabla ya kwenda DART aliwahi kuwa DG wa LATRA. Somebody Ngewe.
safi atasomaMkurugenzi mkuu CPA Habibu Suluo hizo namba zenu tajwa hapo juu hazina msaada toa namba zako za mkononi, unaogopa kusumbuliwa wakati uko kutumikia watanzania? Hizo namba ukipiga kuna vijana hupokea hawana msaada zaidi ya kukuudhi zaidi. Kwa mfano wanakujibu mpigie meneja wa mkoa wako, kwanza huna namba ya huyo meneja wa mkoa wako, pili wamezitoa za nini? Kujikosha kwa Rais.
Tatizo lingine kubwa naloona kuhusu matatizo yanayowapata wananchi kutoshughulikiwa ni waziri mwenye dhamana. Profesa Makame Mbarawa zaidi ya kujishughulisha na miradi ya wizara hajishughulishi kufuatilia matatizo ya wananchi yeye huhangaika na miradi ya wizara.
Mheshimiwa Rais kama unampenda sana kwasababu ni mzanzibari mwenzio mpeleke wizara nyingine au muundie wizara yake na iitwe wizara ya Miradi ya Serikali. Waziri pekee aliyeifaa hii wizara hii ni Dr. Harrison Mwakyembe, yule bwana aliiweza hii wizara. Tuletee mtu kaliba ya Mwakyembe, kwanza mhe Rais unajua nauli tunayopigwa? Pamoja na kwamba nauli imeongezwa mara 2 ndani ya mwaka 1 tendo ambalo halijawahi kutokea nchi hii wenye mabasi wamejiongezea zaidi ya nauli ya Serikali.
Kwa mfano nauli ya Arusha-Babati inatakiwa iwe sh. 8,000 mabasi yanachaji sh. 10,000, hili ongezeko la karibu asilimia 100 maana mwaka juzi nauli ilikuwa sh. 6,000. Wazanzibari mnatupeleka wapi sisi wabara? Kule kwenu hakuna haya. Mambo haya yanaleta hisia mbaya sana, huyu mzanzibari hatufai ktk hii wizara matatizo yetu hayamgusi. TULETEE MWAKYEMBE au anayefanana naye tumechoka wenye mabasi wanatutesa utafikiri hakuna serikali.
Kama unafuatilia michango yangu mingi utaona kongoro Ni sehemu ya maisha yangu Kama ilivyo supu ya utumbo, safari baridi, mbuzi choma, kunawa na nyimbo za OTTU.Mkuu acha kuzarau kongoro,pale Wallet Pub, Kihonda Morogoro Kuna kongoro matata sana inauzwa na ndizi ya kuchemsha..
Zile ni ofisi za wakala wao.LATRA mbona wapo Magufuli pale ghorofa ya kwanza. Ama siku hiyo hawakuwa kazini?
Kwa maneno mengine aliyefeli TTCL ndio anakuja kuiinua UDART?Duuuh kumbe.. Sasa kapelekwa aliyewahi kuwa DG wa TTCL, yaani hii DART ni fupa la nyati mzee maana hata waje fisi hawaliwezi...
Zile ni ofisi za LATRA, nina uhakikaZile ni ofisi za wakala wao.
That is what it really feels like to be a Tanzanian in this regime.Many people in the in this country feel like the government is not necessary and exists for the sole purpose of controlling or putting power over people.