Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
End of an era. RIP
acha kumpangia MUNGU pa kuweka zao lakeEnd of an era. RIP
hakuwa huyu. yule alikuwa othman mdigo wa TANGANdiyo alikuwa mkurugenzi enzi zile Dr. Ulimboka alipotekwa na kuokotwa msitu wa Mabwepande akiwa yuko hoi bin taaban?
Tunamtakia kila la heri huko aendako.
Hakuwa yeye bana. Alikuwa OthmanNdiyo alikuwa mkurugenzi enzi zile Dr. Ulimboka alipotekwa na kuokotwa msitu wa Mabwepande akiwa yuko hoi bin taaban?
Tunamtakia kila la heri huko aendako.