Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sorry ni mambo ya smartphoneHospitality ndiyo nini? Punguza munkari, tulia uandike kwa ueledi.
BTW kama ni kweli kafariki, basi tuseme RIP shushushu namba 1 mstaafu.
Cc Unforgetable
https://www.jamiiforums.com › jasu...
Jasusi Colonel Apson Mwang'onda atua Dodoma - JamiiForums
6 Jul 2015 · 20 posts · 3 authors
Wakuu bado nipo hapa Dodoma kwa takriban wiki sasa. ... Colonel Apson Mwang'onda limewasili hapa Dodoma.
Kwamba Membe ndio kamuua au?Kwani Alikua na urafiki na membe?
hivi mnakuwaga na roho ya ubinadamu kweli ninyi CCM?
hi kiongozi ulipotea wapi, siku nyingi huonekani humoKwani Alikua na urafiki na membe?
Usimpangie Mungu, hata wakulima wa korosho mtwara walikataa kupangiwa pa kuuza na jiwe alipolazimisha aliahibika yeyeR.I.P Babu. Mungu akulaze mahali pema peponi. Asante sana kwa kulitumikia taifa katika idala ya upelelezi. Umekufa na siri nyingi za taifa.
alafu eti mijitu inakuja hapa inasema RIP, pumbav, muacheni Mungu aweke mavuno yake panapostahili, na kama damu ya walotekwa na waliopotezwa, ipo kwake basi italia mpaka kizazi chake cha nneNdiyo alikuwa mkurugenzi enzi zile Dr. Ulimboka alipotekwa na kuokotwa msitu wa Mabwepande akiwa yuko hoi bin taaban?
Tunamtakia kila la heri huko aendako.