Mkurugenzi Mkuu NSSF, Masha Mshomba hizo ajira 271 ni kaa la moto kwako, chukua tahadhari

Thanks for clarification,simfaham though,but what I believe she was smart,

Kama Dau aliiweza kumuamin,basi naamin she was smart,smart people believe and trust on each other,

Tunachojua sisi,hilo shirika ni Dr Dau kaliweka kwenye Raman ya TANZANIA immediately baada ya mkapa kumteua na kuchukua nafasi ya Mustafa Mkulo,watu kama nyinyi mnaona vyaelea tuuuh na kivitaman kumbe mnasahau kuwa vimeundwa,hamjifunzi kwanza kutoa appreciations,mnachojua ni kutaka kufuja na kujaza jamaa zenu KWA upendeleo kufakamia vitu ambavyo wenzenu wameviunda
Matesa alikua kila.za
OVER
 
Sio mambo ya chini chini mkuu. Chuki zake anazisema kwenye vikao rasmi kabisa na watendaji wa shirika, yaani hao ma HR akiamini ni watu wa imani moja na yeye. Anatamka wazi kabisa "hizo shungi zifagieni zote pelekeni Halmashauri mnawaacha hapa wanini?".

Bahati nzuri wengine ni watu wa imani na hawapendi uonevu japo una wa favor watu wa imani yao na ndio wanapenyeza habari kumuhusu huyo mama. Kwa ujumla udini wa mama Mhagama umepitiliza na hata kikiundwa chombo kufatilia ni rahisi mno kuthibitisha hili

Aisee,sikuyajua haya...

But why wanatuchukia hivyo hawa jamaa,like seriously TUMEWAKOSEA kitu gan??

But all in all chuki haiwez shinda upendo,ni kuzid kukaa nao KWA wema na KWA tahadhari,that's all
 
Julian Assange The Whistle Blower,Alishawai kusema kwamba Taifa lolote ambalo halina wapaza sauti KWA maslahi ya wengi basi ni Taifa legelege,

Nimefanikiwa kuipata inside story isiyo na mashaka hata chembe kutoka ndan ya shirika la Taifa la hifadh ya jamii Nssf hakika kweli sikio la kufa haliskii dawa..!Kwan hapo Nssf kuna nini kinachowafanya msitulie na kufanya kazi ya kujenga Taifa,mashirika ya umma yako mengi Sana,why always muwe kwenye headlines za mitandao ya kijamii?

Mkurugenzi Mkuu ndugu Masha,tafadhali kaa chonjo na Director of human resources and admistration Julius Kamuganga,na Manager wa Human resources Leah Mahali,wamechomeka hoja ya kibali Cha ajira takriban 271 za watu ambao wapo hapo Nssf wakifanya temporary Jobs,Hoja hiyo bila shaka iliwepo tokea enzi za William Erio na kuondoka kwake ghafla ndan ya shirika hilo kabla ya kufanikisha KWA mpango huo umewaacha wengi wa watu wao njia panda Sana.

Mkurugenzi huyo wa utawala hivi sasa yupo hapa Dodoma akihaha kwenye corridor za Katibu Mkuu wa utumishi akijaribu kufanya kila awezalo Ili kufanikisha nia hiyo,

Kumbuka william Erio alipofika hapo NSSF alikuja na ajenda kubwa ya kuwaondoa staffs wengi waliopo Nssf na kuwapeleka kwenye halmashauri mbali mbali na taasisi zingine kinyume na utaratibu Ili aweze kupata nafasi ya kuwaweka hao temporary staffs na kuwaleta wengine wengi ambao alitoka nao PPF.

Nia hiyo Ovu ya Kamuganga na Leah Mahali ni ya kupiga vita na kulaaniwa vikali Sana.

Vijana wengi wapo mtaani hawana kazi,na wapo ambao wapo competent kwanin ajira nyingi kama hizo 271 zisitangazwe KWA uwazi na hawa vijana waliopo huku mitaani wakagombania hizo nafasi fairly?

Iweje wanapeleka hoja ya kuwajir watu wengi hivyo kinyemela huku wakijua fika makosa katika maadili ya utumishi wa umma na ajira KWA ujumla?

Nasikia wanafanya vitu vya hovyo sana hapo,wamechukuwa watu ambao wapo temporary kisha wanawapa promotions without confirmation huo ni utaratibu wa wapi wanautumia.

Leah Mahali ameshiriki kuwaondoa mameneja takriban 12 ambao walikuwa ni staffs wa NSSF kinyume na utaratibu na wengine kuwapeleka halmshaur mbali mbali ambako hadi hivi leo yasemekana wanalipwa na payroll ya hapo hapo Nssf.

Taarifa zinasema kwamba anachukua hadi Rushwa Ili aweze kuwapa promotions baadhi ya watu mfano aliekawa muhasibu mwanza amehonga pesa nyingi KWA Leah Mahali then akafanya lobbying na kupewa Kuwa Regional manager Mbeya,mwingine aliekawa senior officer rukwa amehonga pesa KWA njia hizo hizo na kupewa Regional Manager Katavi,ni taarifa zisizo na shaka na ikibid Takukuru waliangalie suala hilo.

Ndug Masha,MKURUGENZI MKUU KWA taarifa zako za utendaji unaonekana ni mtu mwenye weledi mkubwa, mchamungu,usiependa majungu,makundi,Rushwa,dhulma,unyanyasi na upendeleo.

Simama katika misngi yako kama hiyo bila shaka yoyote huwezi kuyumba,umeaminiwa na kupewa nafasi kubwa kama hiyo kutokana na weledi wako,Huyo Mkurugenzi wa utawala Kamuganga na huyo manager wake Leah Mahali wanakuingiza shimoni,tuliza akili yako tafuta team yako ambayo haitaendekeza majungu na migogoro.

Hizo Ajira ambazo wanataka kuzitoa KWA upendeleo tafadhal kama kweli basi zitangazwe KWA uwazi vijana wenye sifa waombe na ufanyike usaili wa haki bila upendeleo wa aina yoyote.

KWA hali ilivyo hao jamaa hutaweza fanya nao kazi hata kidogo,hujamaliza hata mwez nadhan tokea umeteuliwa lakin wameshaanza choko choko za kutaka kukukwamisha na kukutoa kwenye reli,kaa kwa TAHADHARI kubwa sana.

Weka misingi imara na ya haki Ili uweze kuonesha tofauto baina yako na watu failures na wenye Roho Mbaya Mbaya kama william Erio.

William Erio ni homeboy kabisa ni mmakuwa wa hapa jiran masasi,ila namjua Ana roho mbaya sana na namshangaa mtu gani wa kusini Ana kuwa na roho ya kukunja kama yeye,na siku zote mtu mwenye roho mbaya mwisho wake unakuwa ni wa aibu, tafadhal usifuate legacy mbovu kama ya william Erio hapo Nssf,tenda haki Ili uongoze kwa amani.
Kwa taarifa hii ninayoamini kuwa ni ya kweli, basi namshauri DG mpya Masha Msomba kuipa uzito unao stahili;
1 Asitishe hilo zoezi la hizo ajira mpya mpaka mwenyewe ajiridhishe kama kuna mahitaji ya hao wafanyakazi 271.
2 .Kama kuna mahitaji ya idadi ya wafanyakazi hao 271, basi azitangaze kwa utaratibu wa sasa wa Serikali kupitia Sekretariati ya Ajira.
3. Aombe kibali cha Bodi ya NSSF kuwahamisha Director wa NSSF huyo Kamu Mganga na HR Manager Leah

Masha msomba:
Tafadhali usimwangalie Nyani usoni, kazi yako itaharibiwa na hao watu wawili. Njia iliyowaleta ndiyo njia wanayopaswa kutokea, Period. Ikibidi wape hata likizo unaposubiri kibali cha Board
 
Wakati sisi wengine tunalilia pesa zetu hapo, kuna watu wanapigana vikumbo kwenda kutafuta pesa za watu walizotafuta kwa jasho na damu.

Dunia hii,

Yaani Mkuu,we acha kabisa,

Pesa za mafao ya wanyonge ya uzeeni watu mate yanawatoka kila siku wapo vitani,atoke huyu akae yule,

Hawa watoke waende halmshaur sisi wengine tubaki,wanatoana roho KWA mali ya wastaafu,hatar sana
 
Watu wamekaa ofisini miaka 2 na zaidi wanajitolea afu uite watu wapya? Gharama zinginr hizi mnazitaka wenyewe. Wanaojitolea ndio waajiriwe hao hao. Hapa ofisini kwetu kuna madogo wa Intern kutoka TAESA yaan wanajituma sana mwaka jana taasisi imeajiri watu wapya kabisa wakati hawa vijana wapo na wanajua kazi, sio haki kabisa. Binafsi ningeanza ma hao wanaojitolea kuwaajiri wote kisha nirudi mtaani, kwanza tayari wanajua kazi, hivyo kupunguza gharama za training na vitu kibao.
Tuwe positive katika mambo mengi kwann alyways tunawawazia wenzetu kuwa wala Rushwa?
Katika mfumo wa ajira unaotambuliwa na Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 8 ya mwaka 2002 na Kanuni zake za mwaka 2003, hakuna kipengele cha "kujitolea" katika mchakato wa ajira serikalini au kwenye mashirika ya umma. Kujitolea ni jambo binafsi la anayejitolea na halimlazimishi mwajiri kumuajiri kwa kuwa kajitolea. Instead kuajiri wanaojitolea kunaweza kujaza watu ambao hawana uwezo kwa vile kunakuwa hakuna trasparency ya namna ya kuwapata.
 
Julian Assange The Whistle Blower,Alishawai kusema kwamba Taifa lolote ambalo halina wapaza sauti KWA maslahi ya wengi basi ni Taifa legelege,

Nimefanikiwa kuipata inside story isiyo na mashaka hata chembe kutoka ndan ya shirika la Taifa la hifadh ya jamii Nssf hakika kweli sikio la kufa haliskii dawa..!Kwan hapo Nssf kuna nini kinachowafanya msitulie na kufanya kazi ya kujenga Taifa,mashirika ya umma yako mengi Sana,why always muwe kwenye headlines za mitandao ya kijamii?

Mkurugenzi Mkuu ndugu Masha,tafadhali kaa chonjo na Director of human resources and admistration Julius Kamuganga,na Manager wa Human resources Leah Mahali,wamechomeka hoja ya kibali Cha ajira takriban 271 za watu ambao wapo hapo Nssf wakifanya temporary Jobs,Hoja hiyo bila shaka iliwepo tokea enzi za William Erio na kuondoka kwake ghafla ndan ya shirika hilo kabla ya kufanikisha KWA mpango huo umewaacha wengi wa watu wao njia panda Sana.

Mkurugenzi huyo wa utawala hivi sasa yupo hapa Dodoma akihaha kwenye corridor za Katibu Mkuu wa utumishi akijaribu kufanya kila awezalo Ili kufanikisha nia hiyo,

Kumbuka william Erio alipofika hapo NSSF alikuja na ajenda kubwa ya kuwaondoa staffs wengi waliopo Nssf na kuwapeleka kwenye halmashauri mbali mbali na taasisi zingine kinyume na utaratibu Ili aweze kupata nafasi ya kuwaweka hao temporary staffs na kuwaleta wengine wengi ambao alitoka nao PPF.

Nia hiyo Ovu ya Kamuganga na Leah Mahali ni ya kupiga vita na kulaaniwa vikali Sana.

Vijana wengi wapo mtaani hawana kazi,na wapo ambao wapo competent kwanin ajira nyingi kama hizo 271 zisitangazwe KWA uwazi na hawa vijana waliopo huku mitaani wakagombania hizo nafasi fairly?

Iweje wanapeleka hoja ya kuwajir watu wengi hivyo kinyemela huku wakijua fika makosa katika maadili ya utumishi wa umma na ajira KWA ujumla?

Nasikia wanafanya vitu vya hovyo sana hapo,wamechukuwa watu ambao wapo temporary kisha wanawapa promotions without confirmation huo ni utaratibu wa wapi wanautumia.

Leah Mahali ameshiriki kuwaondoa mameneja takriban 12 ambao walikuwa ni staffs wa NSSF kinyume na utaratibu na wengine kuwapeleka halmshaur mbali mbali ambako hadi hivi leo yasemekana wanalipwa na payroll ya hapo hapo Nssf.

Taarifa zinasema kwamba anachukua hadi Rushwa Ili aweze kuwapa promotions baadhi ya watu mfano aliekawa muhasibu mwanza amehonga pesa nyingi KWA Leah Mahali then akafanya lobbying na kupewa Kuwa Regional manager Mbeya,mwingine aliekawa senior officer rukwa amehonga pesa KWA njia hizo hizo na kupewa Regional Manager Katavi,ni taarifa zisizo na shaka na ikibid Takukuru waliangalie suala hilo.

Ndug Masha,MKURUGENZI MKUU KWA taarifa zako za utendaji unaonekana ni mtu mwenye weledi mkubwa, mchamungu,usiependa majungu,makundi,Rushwa,dhulma,unyanyasi na upendeleo.

Simama katika misngi yako kama hiyo bila shaka yoyote huwezi kuyumba,umeaminiwa na kupewa nafasi kubwa kama hiyo kutokana na weledi wako,Huyo Mkurugenzi wa utawala Kamuganga na huyo manager wake Leah Mahali wanakuingiza shimoni,tuliza akili yako tafuta team yako ambayo haitaendekeza majungu na migogoro.

Hizo Ajira ambazo wanataka kuzitoa KWA upendeleo tafadhal kama kweli basi zitangazwe KWA uwazi vijana wenye sifa waombe na ufanyike usaili wa haki bila upendeleo wa aina yoyote.

KWA hali ilivyo hao jamaa hutaweza fanya nao kazi hata kidogo,hujamaliza hata mwez nadhan tokea umeteuliwa lakin wameshaanza choko choko za kutaka kukukwamisha na kukutoa kwenye reli,kaa kwa TAHADHARI kubwa sana.

Weka misingi imara na ya haki Ili uweze kuonesha tofauto baina yako na watu failures na wenye Roho Mbaya Mbaya kama william Erio.

William Erio ni homeboy kabisa ni mmakuwa wa hapa jiran masasi,ila namjua Ana roho mbaya sana na namshangaa mtu gani wa kusini Ana kuwa na roho ya kukunja kama yeye,na siku zote mtu mwenye roho mbaya mwisho wake unakuwa ni wa aibu, tafadhal usifuate legacy mbovu kama ya william Erio hapo Nssf,tenda haki Ili uongoze kwa amani.
Hii ni sauti ya aliyeumizwa. Pole sana. Ila ninaomba wasichezee mafao ya wastahafu.
 
Katika mfumo wa ajira unaotambuliwa na Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 8 ya mwaka 2002 na Kanuni zake za mwaka 2003, hakuna kipengele cha "kujitolea" katika mchakato wa ajira serikalini au kwenye mashirika ya umma. Kujitolea ni jambo binafsi la anayejitolea na halimlazimishi mwajiri kumuajiri kwa kuwa kajitolea. Instead kuajiri wanaojitolea kunaweza kujaza watu ambao hawana uwezo kwa vile kunakuwa hakuna trasparency ya namna ya kuwapata.

Nice comment,big up,

Na hata kama wanajitolea,ndiyo waonewe huruma hao wote 271?

What's the difference baina ya hao na ambao wapo nje?wote Wana Njaa,wote hawana kazi,fairness iwepo,KWA njia hiyo anayoitaka yeye basi hawa vijana ambao wako nje huku hawatoweza kupata kazi,utaratibu wa sekretariat ya ajira ufuatwe
 
Huu ni wivu tu, tulia huko halmashauri uliko, hautoshi kufanya kazi kwenye mashirika makubwa ya umma.
 
Katika mfumo wa ajira unaotambuliwa na Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 8 ya mwaka 2002 na Kanuni zake za mwaka 2003, hakuna kipengele cha "kujitolea" katika mchakato wa ajira serikalini au kwenye mashirika ya umma. Kujitolea ni jambo binafsi la anayejitolea na halimlazimishi mwajiri kumuajiri kwa kuwa kajitolea. Instead kuajiri wanaojitolea kunaweza kujaza watu ambao hawana uwezo kwa vile kunakuwa hakuna trasparency ya namna ya kuwapata.
Kama hakuna kwanini wanawekwa na wanalipwa?
 
Watu wamekaa ofisini miaka 2 na zaidi wanajitolea afu uite watu wapya? Gharama zinginr hizi mnazitaka wenyewe. Wanaojitolea ndio waajiriwe hao hao. Hapa ofisini kwetu kuna madogo wa Intern kutoka TAESA yaan wanajituma sana mwaka jana taasisi imeajiri watu wapya kabisa wakati hawa vijana wapo na wanajua kazi, sio haki kabisa. Binafsi ningeanza ma hao wanaojitolea kuwaajiri wote kisha nirudi mtaani, kwanza tayari wanajua kazi, hivyo kupunguza gharama za training na vitu kibao.
Tuwe positive katika mambo mengi kwann alyways tunawawazia wenzetu kuwa wala Rushwa?
Good, kwanini waache wanaojitolea na wakati perfomance yao inajulikana?
 
Besides hao hawajitolei inavyosemekana,

Wamepewa temporary contracts za kuzuga na wanalipwa monthly,

Si bora basi kama wangekuwa wanajitolea
 
Julian Assange The Whistle Blower,Alishawai kusema kwamba Taifa lolote ambalo halina wapaza sauti KWA maslahi ya wengi basi ni Taifa legelege,

Nimefanikiwa kuipata inside story isiyo na mashaka hata chembe kutoka ndan ya shirika la Taifa la hifadh ya jamii Nssf hakika kweli sikio la kufa haliskii dawa..!Kwan hapo Nssf kuna nini kinachowafanya msitulie na kufanya kazi ya kujenga Taifa,mashirika ya umma yako mengi Sana,why always muwe kwenye headlines za mitandao ya kijamii?

Mkurugenzi Mkuu ndugu Masha,tafadhali kaa chonjo na Director of human resources and admistration Julius Kamuganga,na Manager wa Human resources Leah Mahali,wamechomeka hoja ya kibali Cha ajira takriban 271 za watu ambao wapo hapo Nssf wakifanya temporary Jobs,Hoja hiyo bila shaka iliwepo tokea enzi za William Erio na kuondoka kwake ghafla ndan ya shirika hilo kabla ya kufanikisha KWA mpango huo umewaacha wengi wa watu wao njia panda Sana.

Mkurugenzi huyo wa utawala hivi sasa yupo hapa Dodoma akihaha kwenye corridor za Katibu Mkuu wa utumishi akijaribu kufanya kila awezalo Ili kufanikisha nia hiyo,

Kumbuka william Erio alipofika hapo NSSF alikuja na ajenda kubwa ya kuwaondoa staffs wengi waliopo Nssf na kuwapeleka kwenye halmashauri mbali mbali na taasisi zingine kinyume na utaratibu Ili aweze kupata nafasi ya kuwaweka hao temporary staffs na kuwaleta wengine wengi ambao alitoka nao PPF.

Nia hiyo Ovu ya Kamuganga na Leah Mahali ni ya kupiga vita na kulaaniwa vikali Sana.

Vijana wengi wapo mtaani hawana kazi,na wapo ambao wapo competent kwanin ajira nyingi kama hizo 271 zisitangazwe KWA uwazi na hawa vijana waliopo huku mitaani wakagombania hizo nafasi fairly?

Iweje wanapeleka hoja ya kuwajir watu wengi hivyo kinyemela huku wakijua fika makosa katika maadili ya utumishi wa umma na ajira KWA ujumla?

Nasikia wanafanya vitu vya hovyo sana hapo,wamechukuwa watu ambao wapo temporary kisha wanawapa promotions without confirmation huo ni utaratibu wa wapi wanautumia.

Leah Mahali ameshiriki kuwaondoa mameneja takriban 12 ambao walikuwa ni staffs wa NSSF kinyume na utaratibu na wengine kuwapeleka halmshaur mbali mbali ambako hadi hivi leo yasemekana wanalipwa na payroll ya hapo hapo Nssf.

Taarifa zinasema kwamba anachukua hadi Rushwa Ili aweze kuwapa promotions baadhi ya watu mfano aliekawa muhasibu mwanza amehonga pesa nyingi KWA Leah Mahali then akafanya lobbying na kupewa Kuwa Regional manager Mbeya,mwingine aliekawa senior officer rukwa amehonga pesa KWA njia hizo hizo na kupewa Regional Manager Katavi,ni taarifa zisizo na shaka na ikibid Takukuru waliangalie suala hilo.

Ndug Masha,MKURUGENZI MKUU KWA taarifa zako za utendaji unaonekana ni mtu mwenye weledi mkubwa, mchamungu,usiependa majungu,makundi,Rushwa,dhulma,unyanyasi na upendeleo.

Simama katika misngi yako kama hiyo bila shaka yoyote huwezi kuyumba,umeaminiwa na kupewa nafasi kubwa kama hiyo kutokana na weledi wako,Huyo Mkurugenzi wa utawala Kamuganga na huyo manager wake Leah Mahali wanakuingiza shimoni,tuliza akili yako tafuta team yako ambayo haitaendekeza majungu na migogoro.

Hizo Ajira ambazo wanataka kuzitoa KWA upendeleo tafadhal kama kweli basi zitangazwe KWA uwazi vijana wenye sifa waombe na ufanyike usaili wa haki bila upendeleo wa aina yoyote.

KWA hali ilivyo hao jamaa hutaweza fanya nao kazi hata kidogo,hujamaliza hata mwez nadhan tokea umeteuliwa lakin wameshaanza choko choko za kutaka kukukwamisha na kukutoa kwenye reli,kaa kwa TAHADHARI kubwa sana.

Weka misingi imara na ya haki Ili uweze kuonesha tofauto baina yako na watu failures na wenye Roho Mbaya Mbaya kama william Erio.

William Erio ni homeboy kabisa ni mmakuwa wa hapa jiran masasi,ila namjua Ana roho mbaya sana na namshangaa mtu gani wa kusini Ana kuwa na roho ya kukunja kama yeye,na siku zote mtu mwenye roho mbaya mwisho wake unakuwa ni wa aibu, tafadhal usifuate legacy mbovu kama ya william Erio hapo Nssf,tenda haki Ili uongoze kwa amani.
Hii kitu tuliweka humu nadhani DG mshomba aliona, ila umetoa current updates na azione mapema dg mpya na awaonye mapema
 
Besides hao hawajitolei inavyosemekana,

Wamepewa temporary contracts za kuzuga na wanalipwa monthly,

Si bora basi kama wangekuwa wanajitolea
Acha waajiriwe kama wanafanya vizuri kuliko kubet wapya usiowajua. Mnapenda kufanya mambo magumu. Kama mtu amekubali kujitolea basi kwenye ajira angalau apewe kipaumbele. Tuache roho mbaya na husda kwa wedogo zetu. Wakienda utumishi mnalalamika hapa kuwa kwann wanaitwa watu elfu kadhaa wakati wanaohitajika ni 50. Wabongo ni ulalamikaji kila sehemu. Muda wote unalalamikia wenzako kuwa wanaingiza ndugu zao, Yaan HR awe na undugu na watu 271 au wote hao waingie kimagumashi na ww uwe na taarifa zao wote hata waziri asijue? Acha unafiki
 
Baada ya Dau mmekuja na 'miradi yenu ya Kimkakati' ya Kulima Pamba na Miwa, tupeni matokeo

Mnufaika wa zama za Ramadhan Dau na Bi. Chiku Matesa ukiwa kazini kuchafua uongozi mpya
 
Back
Top Bottom