Mkurugenzi Mkuu NSSF, Masha Mshomba hizo ajira 271 ni kaa la moto kwako, chukua tahadhari

TAKUKURU NG'ATA....
 
Masha kuwa makini na hawa waletaji taarifa na wanaokuelekeza kazi, wengi wao ni timu Dau wale wasiopenda kazi vilaza na wanaoendeleza majungu , makundi, udini na fitina. Kipindi cha Dau NSSF ajira zilikua ni kwa waislamu pesa za wanachama wa nssf zilikua zinatumika kujenga misikiti nchini kote na Kufadhili taasisi za kiisilamu , kusomesha waisalmu na kufadhili Miradi yote ya waislamu ikiwemo kufadhili safari za hija na ugaidi kule kusini, kuwa makini Masha MSHOMBA hawa wadini Hawakupendi wanataka kukuharibia kazi kwa kukupa maelekezo kila siku ukiwasikiliza utapotea wewe kazi yako unaijua na huitaji maelekezo, OVER
 
Kumbe show inasimamiwa na waziri mwenyewe ? Daah hapo sasa
 
Wewe ndio umeandika majungu , haingii akilini afanye hivyo
 
Well said bro
 
Kama hakuna kwanini wanawekwa na wanalipwa?
Anawalipa Kama vibarua, lakini akikutana na Board iliyo makini au CAG akiamua kulizamia linaweza kuipa NSSF Hati yenye mashaka (Qualified Opinion).

Kuwa na vibarua au intern 271 ni weakness kwenye management. Either management haijui ukubwa na mazingira ya kazi zake au ni corruption kwa anayesimamia kasma hiyo.

Isitoshe ni kinyume cha Sheria kuwa na kibarua kwa muda unaozidi miezi 3. Na kibarua anapaswa kulipwa kutwa, kwa hiyo kama unamlipa mwisho wa mwezi ni makosa pia
 

Hatari sana kama una chuki na uislam na waislam ungejaribu kujificha hata KWA kias,

Fedha za shirika zitumike kwenda kujenga misikiti na kufadhili ugaidi Tena,

Hilo ni shirika la umma na kila mwaka kuna wakaguz wa ndan na nje,lin kipind Cha Dau shirika hilo limewahi kupata hayo chafu ya ukaguz na ikaelezea hayo madudu unayoyasema,

Ila shida yenu nyinyi ni islamophobia,mkiona Muislam anaperform hata kama yuko smart na anafanya zake vizur hamuish maneno,

Profesa Assad by that time mlisema ni mjahidina na kageuza Ofc ya CAG kuwa misikiti,hamna jema ndugu zetu,

Haya tunayowaambia ni ukweli japo ni mchungu itabid muupokee
 

wewe ndio mjinga wa mwisho duniani huna hoja hoja zako za kikatolik
 
Shida hao wanaojitolea wamepata hizo chance kwa connection na ajira zikitokea ivo internal watatokea watu from nowhere nakuwa offered, Ili kuweka uwazi mchakato ufanywe na secretariat ya ajira wapambane hao wanaojitolea na hawa wengine then atakaefaulu anapewa kazi
 
Hili shirika kuna kipindi liligeuzwa msikiti, sijui kama hiyo hali ipo had leo
 
Mkuu kufaulu usaili na kupiga kazi kwa weledi vitu viwili tofauti. Kama mtu anajitolea na amefanya vizuri unamchukua tu bila shida yoyote huhitaji usaili. Sema wabongo mnachuki sana kupata kwa wenzenu na lazima muweke lawama za kusema wameingia kwa kujuana.
 
Shida ni huo mchakato wa kujitolea umepatikana vipi mimi nilikuwa employed baada ya kumaliza field na kujitolea kwa muda kidogo ila ilikuwa kampuni ya kizungu na palikuwa na uwazi sana sikuwa na connection yoyote pale
 
Shida ni huo mchakato wa kujitolea umepatikana vipi mimi nilikuwa employed baada ya kumaliza field na kujitolea kwa muda kidogo ila ilikuwa kampuni ya kizungu na palikuwa na uwazi sana sikuwa na connection yoyote pale
Watu wamepitia mchakato mgumu kuliko huko UTUMISHI. Kawaangalie vijana wanavyopambana kupata nafasi TAESA ndio utajua wale watoto acheni waajiriwe tu. We unadhani sasa hivi watu wanajitolea tu? Kuna kuwa na usaili mkubwa tu. Vijana wengi wanakuambia ukienda huko TAESA ni bora tu usaili wa UTUMISHI ni rahisi kupita.
Tuwe na utamaduni wa kuwapa nafasi hawa vijana ambao kwao wao maslahi sio kitu bali kufanya kazi katika kujenga taifa lao. Mbona polisi hawaajiri kutoka mtaani? Ni kwa kuwa kuna watu wanajitolea kule JKT basi na huku tuwape kipaumbele wale watoto. ACHENI ROHO ZA KICHAWI WATZ, CHUKI, HUSDA, UKABILA, UDINI NA KUONA WENZETU NI WALA RUSHWA SIO KITU CHEMA KWA HAPA DUNIANI NA HATA KWA MUUMBA WETU.
 
Huo utaratibu wa kuajiri temporary employee ili ni mzuri ingawa mara nyingi umejaa ukabila na undugu.
Maana vibarua wengi ni ndugu wa mabosi kwenye taasisi
Umesema kweli mkuu. Watu ambao hawana connection si rahisi kupata kazi kwa utaratibu huo wa kuajiri watu wanaojitolea.
 
Nili wai kwenda NSSF hapo ilala boma

Hapo kweny office Zao nili pata mshangao kukuta baadhi ya staff Wana uwezo mdogo ki utendaji hata reasoning...very very poor

Nilijiuliza watu kama hao wanapitaje kwenye interview au ndio zile kushikwa mkono...
Yaan nilijiuliza kuna vijana wengi smart na wenye sifa za kua pale ambao nawa fahamu ila wanauza mitumba karume, Tandika,Tandale na Rangi tatu mbagala...This world is not fair

Naungana na prof. Assad kua asilimia 80% ya watumishi uwezo wao mdogo kiutendaji
 
Kama ni wana mikataba ya muda mfupi wapewe mikataba ya kudumu kwani ninavyoelewa hata wenye mikataba ya muda mfupi wana sifa Sawa na wenye mikataba ya muda mrefu
Besides hao hawajitolei inavyosemekana,

Wamepewa temporary contracts za kuzuga na wanalipwa monthly,

Si bora basi kama wangekuwa wanajitolea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…