Mkurugenzi Mkuu NSSF, Masha Mshomba hizo ajira 271 ni kaa la moto kwako, chukua tahadhari

Nauliza tuu...Hivi mashirika kama NSSF ajira zao huwa wanapanga wenyewe?

Au hadi Mama yetu asaini tena?..yaan kutoka serikalini huko.
 
MAJUNGU KATIKA UBOA WAKE
 
Huu utaratibu wa kuajiri the so called wanaojitolea ni wakukemewa kwa nguvu zote. Umegubikwa na rushwa na upendeleo kwa kuwa hata hizo nafasi za kujitolea zilitolewa kwa upendeleo pia.

Nafasi za kazi zitangazwe na watu waombe, kisha wapimwe kwa usaili.
 
Kwa hiyo mnagombania ulaji hapo NSSF huku wenye pesa zao hapo mkiwanyima fao la kujitoa?
 
Nlipeleka barua yangu na vyetu NSSF makao makuu mwaka huu mwanzon lakn kabla ya hapo ndugu yangu wa karibu akaambiwa na mtu wa nssf ya pale Boma kwamba dogo anapeleka barua hatopata.. kweli bhana nmepeleka kwa hr wa kwanza then nikaambiwa barua yangu ipo kwa hr upande wa legal department haijajibiwa.. baada ya kufanya follow up ya siku kadhaa.. nikajibiwa kwa dharau siku hyo kwamba UMEKOSA NAFASI nlijiskia hovyo sana.. sikukata tamaa juzi nikajarb NSSF shinyanga.. hawakupokea barua, nilijibiwa tu kwamba hawana hzo issue za volunteering since miaka kenda huko nyuma so nitembee na mwokozi.. sasa hapa nashangaa kuskia kuna nafasi sijui 271 kwa watu waliokua wana volunteer.. asee sisi ambao Babu zetu walikua wacheza bao tuna tabu sana😅
 
Mulika mameneja wote waliopanda kutoka senior kua meneja wakati kuna ma principle wapo na hawajapanda, na hawajawahi kua na poor perfomance, ila tu kwa kua ni kabila moja ana influence.
Ukiondoa hapo makao masalia ya Erio utabaki salama
 
Tofautisha kati ya volunteer ns temporary jobs
 
Fafanua hapo kwenye udini...wakati wa Dau udini ulimaanisha upendeleo kwa waisilamu, sasa Dau hayupo udini huu ni upendeleo kwa watu wa dini ipi.....?
Mkuu Al Zagawi naamini wewe ni mtu mzima mwenye uwezo wa kuchanganua mambo. Unganisha hoja zinazotolewa humu, soma kati ya mistari utapata jibu la swali lako
 
Hii ni nchi karibu kila mtu ni mpigaji tu hakuna namna
 
Wasubiri Audits hawa. Walimchongea Prof. kumbe wenyewe ni mchwa mbaya.

Erio sjui kwanini ana roho hovyo namna hyo,
Kamtoa prof kwenye kibarua wakati yeye kadumu ppf miaka nenda rudi
 
Mulika mameneja wote waliopanda kutoka senior kua meneja wakati kuna ma principle wapo na hawajapanda, na hawajawahi kua na poor perfomance, ila tu kwa kua ni kabila moja ana influence.
Ukiondoa hapo makao masalia ya Erio utabaki salama
Wale walopandishwa kwa kuhonga na kutumia ukabila fyekelea mbali
 
Siku ya jana pilika zilikua nyingi kwa hao waloajiriwa kwa contract, walikuwa wanapigiwa simu na kuelekezwa waandike barua za applications ili zikawekwe kwenye mafaili maana hawakuingia kwa kuomba bali waliitwa kindugu na kirafiki wa kimapenzi.
Ulikua ni umalaya tu ndani ya nssf enzi zs Erio
 
Hapo NSSF hakuna msafi.Chakufanya aanze na wewe kisha ndo afuate hao wengine.Wewe ni sample ya aina ya watu walioko NSSF wenye ngebe,gubu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…