Mkurugenzi Mkuu TCRA Dkt. Jabiri Bakar asisitiza Postal code ni suluhisho la utoaji huduma kwa wananchi

"POSTAL CODE" NI SULUHISHO LA UTOAJI HUDUMA KWA WANANCHI

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefanya semina kwa watoa huduma za Posta leo oktoba 7, Jijini Dodoma katika kuelekea maadhimisho ya siku ya Posta duniani. Akizungumza na Waandishi wa habari Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano amesema kuwa kazi kubwa ya Mamlaka ya Mawasiliano kusimamia watoa huduma za Mawasiliano ikiwemo Posta, utangazaji na mawasiliano ya simu

" Sisi kama TCRA jukumu letu kubwa kuhakikisha "Postal code" zinawekwa kwa kuzingatia taratibu za kimataifa ili hata mtoa huduma wa kimataifa asipate changamoto wakati wa kutoa huduma kwa Wananchi kwa kutumia mfumo wa "Postal Code" - Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabir Bakari

"Kukamilika kwa huduma ya "Postal code" itasaidia sana kutatua changamoto za upatikanaji wa huduma kwa wananchi katika kipindi hiki cha UVIKO 19 na wakati wa majanga mengine Mwananchi atapata huduma akiwa nyumbani kwake kwa kutumia mfumo wa kidijitali utakao saidiwa na mfumo wa Postal code - Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabir Bakari

Pia katika kuadhimisha siku ya Posta Duniani Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inawakumbusha watoa huduma wote kuzigatia taratibu na Kanuni zinazokubalika na Mamlaka katika kutoa huduma bora kwa wananchi

#SikuYaPostaDuniani

#UbunifuKwaPostaEndelevu
Urban planning imewashinda hiyo post code haina maana
 
Mniulizie huko kama kukosa Post code ndio sababu ya Rushwa na Mafisadi ndani ya ccm hii.

Pia mniulizie kama Postcode zinaleta Maji na pesa mfukoni
 
Back
Top Bottom