Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mimi ninataka nakajifunze kushona kwa cherehani
Dharau zimezidi sasaMkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Anthony Kasore amesema kuwa sio tu wenye Shahada ya Awali, hata wenye elimu za juu zaidi kama vile Shahada ya Uzamivu (PhD) wanaweza kujiunga VETA, na wamewahi kuwa na mwanafunzi mwenye PhD ambaye amesomea masuala ya uchomeleaji.
Soma: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri
Akizungunza kwenye Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 leo Machi 17, 2025, Kasore amesema Serikali imeendelea kuboresha huduma za elimu ya ufundi hasa miundombinu na kuwahimiza watu wote wanaohitaji kupata ujuzi wajiunge na vyuo vya VETA vinavyopatikana katika maeneo mbalimbali nchini.
Aibu naiona mimi Tanzania, kutoka zama za Specialization mpaka zama za ujima wa Jack of all traders. Yaani mtu usome mpaka PHD alafu uende Veta ? Kwann asingemaliza la nne akaenda Veta ?Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Anthony Kasore amesema kuwa sio tu wenye Shahada ya Awali, hata wenye elimu za juu zaidi kama vile Shahada ya Uzamivu (PhD) wanaweza kujiunga VETA, na wamewahi kuwa na mwanafunzi mwenye PhD ambaye amesomea masuala ya uchomeleaji.
Soma: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri
Akizungunza kwenye Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 leo Machi 17, 2025, Kasore amesema Serikali imeendelea kuboresha huduma za elimu ya ufundi hasa miundombinu na kuwahimiza watu wote wanaohitaji kupata ujuzi wajiunge na vyuo vya VETA vinavyopatikana katika maeneo mbalimbali nchini.
Kweli. Eti naye anapita mule mule alikopita Katelefoni.Dharau zimezidi sasa
Nukuu: "kwa nini sisi tudharau elimu ya ufundi itolewayo na VETA"?Nataka nirudi VETA tena kwenda kusomea .........
Yeye ana PhD?Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Anthony Kasore amesema kuwa sio tu wenye Shahada ya Awali, hata wenye elimu za juu zaidi kama vile Shahada ya Uzamivu (PhD) wanaweza kujiunga VETA, na wamewahi kuwa na mwanafunzi mwenye PhD ambaye amesomea masuala ya uchomeleaji.