Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Anthony Kasore amesema kuwa sio tu wenye Shahada ya Awali, hata wenye elimu za juu zaidi kama vile Shahada ya Uzamivu (PhD) wanaweza kujiunga VETA, na wamewahi kuwa na mwanafunzi mwenye PhD ambaye amesomea masuala ya uchomeleaji.
Soma: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri
Akizungunza kwenye Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 leo Machi 17, 2025, Kasore amesema Serikali imeendelea kuboresha huduma za elimu ya ufundi hasa miundombinu na kuwahimiza watu wote wanaohitaji kupata ujuzi wajiunge na vyuo vya VETA vinavyopatikana katika maeneo mbalimbali nchini.
Uteule ni zaidi ya Phd mkuu kwa TanzaniaYeye ana PhD?
Yaani hata huyu, nae anaenda kichawa chawa kama, kasuku, kama msomi, ilibidi afafanue wahitimu wa vyuo vikuu waende veta kusoma nini?Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Anthony Kasore amesema kuwa sio tu wenye Shahada ya Awali, hata wenye elimu za juu zaidi kama vile Shahada ya Uzamivu (PhD) wanaweza kujiunga VETA, na wamewahi kuwa na mwanafunzi mwenye PhD ambaye amesomea masuala ya uchomeleaji.
Soma: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri
Akizungunza kwenye Kipindi cha Jambo Tanzania cha TBC1 leo Machi 17, 2025, Kasore amesema Serikali imeendelea kuboresha huduma za elimu ya ufundi hasa miundombinu na kuwahimiza watu wote wanaohitaji kupata ujuzi wajiunge na vyuo vya VETA vinavyopatikana katika maeneo mbalimbali nchini.
Eti akabadili fani kwa mwamvuli wa kuongezea ufundi e.g. awe ni dokta anayepika keki au kuwaremba maharusi n.k. auYaani hata huyu, nae anaenda kichawa chawa kama, kasuku, kama msomi, ilibidi afafanue wahitimu wa vyuo vikuu waende veta kusoma nini?
Je kijana aliyehitimu degree ya statistics, anaenda veta kupata uzoefu wa takwimu, au aende akajifunze kutengeneza keki na batiki! Ajiajiri,aajiliwe, wakati anasubili kazi, ya degree aliyosomea? Au, Dokta kasoma miaka 6,anakuja veta kupata internship ya u dokta, au, anakuja kujifunza udereva, kutengeneza tiles, kupaka rangi,harafu aingie kitaa apige kazi na asahau kabisa Mambo ya u dokta?
Kajifunze safi sanaMimi ninataka nakajifunze kushona kwa cherehani
Sahihi na ni Kweli 100%.Unaweza ukawa na PhD ni isiwe msaada
Ova
Nishabahatika kukutana na wenye PhD wengi ni weupe wa mambo fulani fulaniSahihi na ni Kweli 100%.
Tena sana! Nchi ya hovyo sana hii!Dharau zimezidi sasa
Aibu naiona mimi Tanzania, kutoka zama za Specialization mpaka zama za ujima wa Jack of all traders. Yaani mtu usome mpaka PHD alafu uende Veta ? Kwann asingemaliza la nne akaenda Veta ?
Tustick na Tanzania ambayo tumekosa ma specialist wa vitu vingi kiasi kwamba hata consultancy kubwa zinafanywa na makampuni ya nje...baadala ya kufight kuwa na specialist wengi tunaforce kuwa na wana Veta wengiDunia ya sasa inalazimisha uwe na Taaluma angalau 2 au hata zaidi,- ukimudu.
Iwapo hilo hulijui na unalishangaa, shukuru Mungu sasa unafunguliwa macho tena bila malipo.
Na ukweli ni kuwa umechelewa.
Bahati mbaya tumekaririshwa na kuaminishwa kuwa Taaluma moja hasa ikiwa ni hizo za juu kama uliyoitaja ndio baaasi, mbaya sana hii.
Huko kunakoitwa Dunia ya kwanza,
Watu kuwa na Taaluma 3 sikuhizi ni kitu cha Kawaida, tena sana.
Na kama ni 'Certifications' zinakuwepo na wanaweza kuzifanyia Kazi kutegemeana na ratiba zao
(sio ujanjaujanja)
Kuweka mjadala juu ya iwapo ni sahihi ama lah kuhusu hoja hii,
Inatutofautisha wenye mawazo ya kisasa dhidi ya wanaofikiri kwa mrengo wa Karne ya 18.
Nawasilisha.
Sijajua km tutakaa hostel au tutapanga nje ya chuo πΉπΉπΉπππ tuanze lini? Hali sio hali upishini π€£
Sijajua km tutakaa hostel au tutapanga nje ya chuo πΉπΉπΉ
Siyo dharau boss, yeye kasore kasomea upishi huko huko veta.Dharau zimezidi sasa