Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 672
- 860
Wataje na huyo Bwana ardhi. Mkorofi Tony aliondoka, mtaje huyo ambaye unamsema. Na huko Takukuru wataje.Kuna kesi za ardhi kuuzwa marambili na hela kutofika serikalini lakini hakuna jipya kutoka kwao. Yupo bwana ardhi anasema hao ni wenzetu
Tanga ni jipu kubwa sana! Matajiri Tanga wanafanya wanavyotaka,wanazulumu watu Aridhi zao mchana kweupe, na hata ukienda ku report police, police nao wanawaita na kuvuta mpunga, basi mlalamikiji file lako linatupwa pembeni huku wanakupigisha kwata ya nenda rudi hadi mwenyewe unajikatia zako tamaa!Kimeumana tayari.. Next week Tanga kitawaka!
Tuamini Hamduni atafanya jamboTanga ni jipu kubwa sana! Matajiri Tanga wanafanya wanavyotaka,wanazulumu watu Aridhi zao mchana kweupe, na hata ukienda ku report police,police nao wanawaita na kuvuta mpunga,basi mlalamikiji file lako linatupwa pembeni huku wanakupigisha kwata ya nenda rudi hadi mwenyewe unajikatia zako tamaa!!
Yaani tuombe Mungu sana Kamanda Hamduni asimamie haki! Mimi ni Muhanga pale Tanga hadi leo bado Police wananipigisha kwata,tena sasa hivi Mpelelezi wangu eti lawama anawatupia office ya DPP Tanga ndiyo inachelewesha kupeleka kesi Mahakamani,na office ya DPP nayo inasema mpelelezi hataki kukamilisha Upelelezi! Basi nimebaki Kati tu naangalia mafahari wawili wanavutana,lakini wao hawajui kua ninaeumia ni Mimi!!Tuamini Hamduni atafanya jambo
Mkuu kolola,Kama kweli kuna Watumishi Wazembe na wala rushwa acha washulikiwe mara moja, safari hii hakuna kuoneana,ni mwendo wa kufuata Sheria! Mtumishi yoyote mwenye makandokando lazima ashuhulikiwe kwa mujibu wa Sheria!Nazidi kukuuliza ulimtaka akakukataa huyo DED? Una kisrani naye
Tena na nusuDaaah hii hatari
Wasiojua haya mambo tukilalamika wanasema tuna chuki na watu.Yaani tuombe Mungu sana Kamanda Hamduni asimamie haki! Mimi ni Muhanga pale Tanga hadi leo bado Police wananipigisha kwata,tena sasa hivi Mpelelezi wangu eti lawama anawatupia office ya DPP Tanga ndiyo inachelewesha kupeleka kesi Mahakamani,na office ya DPP nayo inasema mpelelezi hataki kukamilisha Upelelezi! Basi nimebaki Kati tu naangalia mafahari wawili wanavutana,lakini wao hawajui kua ninaeumia ni Mimi!!
Ungeporwa haki yako na kuwekwa mahabusu ungeelewa,ila kwakua huelewi na huamini ninani anakulazimisha.Nazidi kukuuliza ulimtaka akakukataa huyo DED? Una kisrani naye
Unajua mnyonge mnyongeni na haki yake mpatie, msisahau hawa TAKUKURU wanafanya kazi nyingi nzuri pia na hapaswi kufanya kwa mujibu wa sheria yao. Mi nadhani Kuna malalamiko mengine yanatakiwa kuangaliwa kabla ya kulaumu.Afande Hamduni hongera sana kwa kuaminiwa.
Takukuru Tanga inakila sababu ya kumulikwa kwani inaungana na wanaotuhumiwa.
Wapo watumishi wasio waadilifu pale zikitolewa taarifa za rushwa wanawapa taarifa wale waliotuhumiwa.
Takukuru Tanga wananunulika kwa uwazi kwani mlalamikaji anawekwa mahabusu na mlalamikiwa akichapa mkono kisa ana hela na cheo.
Kuna kesi za ardhi kuuzwa marambili na hela kutofika Serikalini lakini hakuna jipya kutoka kwao. Yupo bwana ardhi anasema hao ni wenzetu
Takukuru Tanga wanakatisha tamaa wapinga rushwa,hawajui maana ya kutunza siri wanasaliti kazi yao,ubinafsi umewajaa baadhi ya watumishi
Bado hajabanwa na viatu vyake mwenyewe! Siku yake ikifika ndiyo ataujua ukweli wa Mambo ya Ndani!!Wasiojua haya mambo tukilalamika wanasema tuna chuki na watu.
Hakuna chuki,ukiumizwa lazima upige kelele
Kweli mkuuBado hajabanwa na viatu vyake mwenyewe! Siku yake ikifika ndiyo ataujua ukweli wa Mambo ya Ndani!!
Kiwanja kuuziwa wamiliki wawili tofauti na mtumishi wa ardhi unasema hapana rushwa hapo?Unajua mnyonge mnyongeni na haki yake mpatie, msisahau hawa TAKUKURU wanafanya kazi nyingi nzuri pia na hapaswi kufanya kwa mujibu wa sheria yao. Mi nadhani Kuna malalamiko mengine yanatakiwa kuangaliwa kabla ya kulaumu.
Hapa umelalamikia kuhusu ardhi ambapo TAKUKURU hawahusiki, lakini pia haujataja kosa la rushwa lililotendeka katika kuuzwa kwa ardhi hiyo mara mbilimbuli.
Ipo haja ya hawa TAKUKURU kujikita kwenye maswala ya rushwa pekee, alafu hayo malalamiko ya ardhi, ndoa, mikopo umiza n. k, yapelekwe sehemu husika ndipo mtawakumbuka hawa TAKUKURU.
Kiwanja kuuziwa wamiliki wawili tofauti na mtumishi wa ardhi unasema hapana rushwa hapo?
Mtu akifuatilia haki zake anawekwa ndani na Takukuru, je hiyo imekaaje
Kama zipo wilaya ambazo zina kila aina ya rushwa Tanga imo tena kwakiwango cha juuKiwanja kuuziwa wamiliki wawili tofauti na mtumishi wa ardhi unasema hapana rushwa hapo?
Mtu akifuatilia haki zake anawekwa ndani na Takukuru, je hiyo imekaaje