Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Sgr Ni hadhi ya nani mkuu?Usipande na vyakula kwenye ndege au SGR wewe ni wa basi na malori na treni za kawaida huko ndio saizi yako achana na SGR sio hadhi yako
.huko kwingine waweza beba hadi kande kula njiani
Kaa mbali na SGR sio hadhi yako
Taja sifa tafadhar