DOKEZO Mkurugenzi Mtendaji Magu na wenzako mmetupiga milioni 40 za EP4R Shule ya Msingi Magu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kim80 unaweza ukawa unampambanisha Mhe. Naibu Katibu Mkuu Msonde na Ma-godfather wa huyo JOHARI MWASHA bila wewe kujua!!

Nasema hivyo kwa sababu, kama kuna lawama nyingi hivyo kwa huyo afisa na hatua hazichukuliwi na viongozi wa mkoani Mwanza kama REO, RAS na wengineo maana yake ni kwamba huyo afisa ana mizizi mirefu huko TAMISEMI au Wizara ya Elimu.
 
Glory mtui ni mchapakazi ee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…