Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, jitafakari kwa kina kama bado unafaa kuendelea kuwa ofisini

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
18,223
Reaction score
31,465
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, jitafakari kwa kina kama bado unafaa kuendelea kuwa ofisini, hasa baada ya kauli iliyotolewa na Waziri wa Afya pamoja na kashfa inayohusiana na ujenzi wa open space.

Masuala haya yanapaswa kukufanya ujiulize kuhusu uwajibikaji, uaminifu na uhalali wa kuendelea kushika nafasi hiyo.
 
Attachments

  • VID-20260728-WA0031.mp4
    15.6 MB
Majungu. Mkute muulize ofisini kwake. Hizo ni ofisi za umma na umma ndio wewe
 
Attachments

  • IMG-20260824-WA0073.jpg
    IMG-20260824-WA0073.jpg
    38.2 KB · Views: 12
Huyu hata alipokuwa katika wilaya ya Mwanga aligombana sana na watu, ni mjuaji sana huyu Dada...na alishatuhumiwa sana
 
Kuna wakati, alikuwa mjamzito, ila sikuja kuona mtoto aliyezaliwa,huyo mtoto yuko wapi?
 
Kwa nini msimpige kipapai akableed mwaka mzima?
 
Kuna wakati, alikuwa mjamzito, ila sikuja kuona mtoto aliyezaliwa,huyo mtoto yuko wapi?
Sijui kwakweli, nilipita kufanya kazi na wilaya ya Same na Mwanga kwa mwezi mmoja tu ila wafanyakazi wa Mwanga(alipokuwa Mkurugenzi) walikuwa wana malalamiko mengi juu yake
 
Back
Top Bottom