peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, jitafakari kwa kina kama bado unafaa kuendelea kuwa ofisini, hasa baada ya kauli iliyotolewa na Waziri wa Afya pamoja na kashfa inayohusiana na ujenzi wa open space.
Masuala haya yanapaswa kukufanya ujiulize kuhusu uwajibikaji, uaminifu na uhalali wa kuendelea kushika nafasi hiyo.
Majungu. Mkute muulize ofisini kwake. Hizo ni ofisi za umma na umma ndio wewe
Kuna wakati, alikuwa mjamzito, ila sikuja kuona mtoto aliyezaliwa,huyo mtoto yuko wapi?Huyu hata alipokuwa katika wilaya ya Mwanga aligombana sana na watu, ni mjuaji sana huyu Dada...na alishatuhumiwa sana
Nipo naye hapa UngujaKuna wakati, alikuwa mjamzito, ila sikuja kuona mtoto aliyezaliwa,huyo mtoto yuko wapi?
Nipo naye hapa Unguja
Sijui kwakweli, nilipita kufanya kazi na wilaya ya Same na Mwanga kwa mwezi mmoja tu ila wafanyakazi wa Mwanga(alipokuwa Mkurugenzi) walikuwa wana malalamiko mengi juu yakeKuna wakati, alikuwa mjamzito, ila sikuja kuona mtoto aliyezaliwa,huyo mtoto yuko wapi?