Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Wapo ambao wanafanya mazuri tu kiasi kwamba hutakiwi kukosoa na endapo utafanya hivyo basi utakuwa msaliti si bure.
 
Hii game mbona kila kukicha inazidi kuwa ngumu. .....!
 
Kuna watu walikuwa wanajificha nyuma ya ID feki kumtukana JPM walimwita Juma Pumba.. Mara anampiga mkewe mpaka anazimia.. Sasa wajiandae kujibu mashtaka
Wacha kutisha watu Kijana.

Rais yyt Duniani Anatukanwa na kukashifiwa kila mara kutokana na Tofauti ya fikra za watu.
Wewe Ulitaka Pombe Magufuli asifiwe tu au?
Acheni unafiki watanzania.

Magufuli Anaonea watu. Ananyanyasa wanyonge. Anapokonya haki za watu.

Na sio Muungwana kabisa.

Vipi uwaletee watu Utawala wa ki dikteta Nchi hii?

Muulize huyo magufuli wako. Anadhani ataishi milele sio ?

Km ataendelea kuonea watu namna hii Mungu MKUU amuondoe Nafsi yake.
Anaumiza wanyonge wengi sana. Halafu anadai anajenga Nchi.

Nchi imekuwa Balaa kuliko awamu zote zilizopita. Leo Hii WAKRISTO kwa Waislamu mpk WAPAGANI wanamkumbuka JK.

Haya waambie wanifungulie mashtaka na mimi.
 
Mimi naamin,muhusika akitoa ushirikiano kwa waliomkamata, watakuja kukamatana wenyewe.maana watakuta mtu anaitwa mjusi,wakienda watamkuta bosi wao ndio katukana.hahahahahahaha
 
Hee hii sasa kali
 
Wanatufunga mikono Badala ya kuangaika na maendeleo ya watu wao wanaangaika na mitandao tu.. Shame!
 
Niliwah kutoa uzi humu kuhusu wamiliki wa jf kuwa makini na wawadhibiti member wao kuhusu lugha wanazozitumia dhìdi ya viongozi wa serikali na chama tawala wakaufuta..sasa leo yametimia.
 
Kosoa bila ya matusi na lugha za kebehi..

Kwakuwa marais wengine wanatukanwa basi na wetu atukanwe? Basi tukubali na ushoga na usagaji sababu huko marais wanakotukanwa ushoga na usagaji umeruhusiwa..
 
ccm wanaendeleza chuki kwa jamii kweli 2020 hatufanyi kosa.


swissme
 
Tumieni VPN and WiFi zenye kutumika na watu wengi
WI-FI si salama devices zote ambazo zimeunganishwa hapo kwenye network physical addresses zake zote zinaonekana server ama mtu anahost hiyo internet anayoshea.
 
wanataka hela tu, na wanyonge tutakamuliwa, manake unaenda bure na unatoka kwa hela
 
Kosoa bila ya matusi na lugha za kebehi..

Kwakuwa marais wengine wanatukanwa basi na wetu atukanwe? Basi tukubali na ushoga na usagaji sababu huko marais wanakotukanwa ushoga na usagaji umeruhusiwa..

huko na benni hapo ?



swissme
 
Umeona subili leo watu watakuwa hawako online kimya kabisa
 
Niliwah kutoa uzi humu kuhusu wamiliki wa jf kuwa makini na wawadhibiti member wao kuhusu lugha wanazozitumia dhìdi ya viongozi wa serikali na chama tawala wakaufuta..sasa leo yametimia.
Na waadhibiwe haraka.. Zitto alivyoitwa Ayatollah haraka hilo neno likawa censored humu JF lakini Magufuli anaitwa majina ya ajabu ajabu mara dikteta uchwara, Juma Pumba ila wanaacha hayo majina huku wakichekelea.. Nyuzi za udini na ukabila zinaachwa mpaka zinafika page 100 hawajigusi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…