Hebu kuwa serious kidogo
W. J. Malecela ,
Je? Na wale wanaofanya kazi shift za usiku, muda mchana hawaruhusiwi kuangalia TV ?
Basi mngezima mawasiliano ya TV kila mchana, "muda wa kazi" ukiisha muwashe tena, maana hii hoja ya kusema watu wasiangalie bunge wakati wa kazi ni hoja mfu!
Halafu Kuna vipindi vingine vinaendelea kwenye TV mchana, mbona watu wanaviangalia? hivyo haviwafanyi watu wasifanye kazi?
Wewe kama
"great thinker" unadhani kitakachowafanya watu wasifanye kazi mchana ni BUNGE LIVE tu?
CCM aliyewaloga ni marehemu!