Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Kutaka kupewa taarifa za watumiaji wa mtandao ni Kuingilia uhuru wa Mawazo, Habari za Uzushi zipo kila mahali, Huwezi kuzizuia kwa kufungia mitandao.
 
sasa kifuatacho ni sisi tunadatwa ila haina mbayaaa maana hata akna Mandela walisota Sana mwishoe wakaiweka nchi sehem yake
 
Cyber crimes! Si ndiyo hiyo inayopinga na katiba ya nchi hii!! Sasa kama sheria inapinga na katiba si sawa na gari bovu barabarani ambalo lazima litapelekea kuwepo kwa ajili nyingi.
Ndiyo mafundi wamekwisha pewa taarifa, kabla hawajarekebisha dosari zilizopo wamerudisha gari barabarani!!
 
Tunarudi nyuma hatua nyingi sana katika Dunia inayosonga mbele ,mambo ya ajabu na hovyo kabisa haya tunafanyiwa..
 
tutafika tukiwa tumechoka sana... alaf atapunga mkono kwetu, nasi tutaonesha mpaka meno yetu ya mwisho.... baada ya hapo ni kujifariji kupitia wasanii wetu na mwisho kusahau yooote haya na kumrudisha mjengoni taratiiibu.... tukutane __ __20
 
Kufungia internet uwezo huo hatuna. Usijilishe upepo
 
- Tunajenga Taifa so wananchi mchana mzima wanatakiwa kuwa kazini sio kuangalia Bunge live, hayo mengine ya kwako na ni nonsense!

le Mutuz
Hebu kuwa serious kidogo W. J. Malecela ,
Je? Na wale wanaofanya kazi shift za usiku, muda mchana hawaruhusiwi kuangalia TV ?

Basi mngezima mawasiliano ya TV kila mchana, "muda wa kazi" ukiisha muwashe tena, maana hii hoja ya kusema watu wasiangalie bunge wakati wa kazi ni hoja mfu!

Halafu Kuna vipindi vingine vinaendelea kwenye TV mchana, mbona watu wanaviangalia? hivyo haviwafanyi watu wasifanye kazi?
Wewe kama "great thinker" unadhani kitakachowafanya watu wasifanye kazi mchana ni BUNGE LIVE tu?

CCM aliyewaloga ni marehemu!
 

Huyo jamaa sijui kama amechukua muda kutafakari alichokiandika, hivi ile radio yao ambayo nasikia ana hisa, watakua wanaiwasha mchana wakati wa kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…