figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Daaaaa.....pole sanaa familia nzima ya TanescoNyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva Wake Wafariki dunia ambaye jina lake sijalipata wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma.
Wapumzike kwa amani
Stay Tuned
Ooo! MUNGU awapokee katika makao yake MTAKATIFU. Amina , 🙏Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva Wake Wafariki dunia ambaye jina lake sijalipata wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma.
Wapumzike kwa amani
Stay Tuned
Kusafiri kwa Gari kutoka Dar hadi Musoma ni ngharama kubwa na hatari sana kuliko kupanda ndegeNyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva Wake Wafariki dunia ambaye jina lake sijalipata wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma.
Wapumzike kwa amani
Stay Tuned
Anaweza kuwa alikuwa safari kikazi kukagua ujenzi wa miundombinu ya umeme.toka Dar hadi musomaKusafiri kwa Gari kutoka Dar hadi Musoma ni ngharama kubwa na hatari sana kuliko kupanda ndege
Wata tunishaje na maV8 mkuuMkurugenzi wa Tanesco anasafiri umbali wote kutoka dar mpaka Msoma kwa gari kwani ndege hazikuwepo?
Hii statement sio kabisaTanzania tumemkosea nini Mungu?
You are very stupidWata tunishaje na maV8 mkuu
Unajua unachosema. Stupid unaitaja kama unataja maembe. Fu£k youYou are very stupid
Do u think is the first time such issue happen? Do u know Salvatory Mosha the brain behind Tanesco 🤔View attachment 3302556
Mhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva Wake Wafariki dunia ambaye jina lake sijalipata wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma.
Wapumzike kwa amani
Stay Tuned
====
MY TAKE
Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake.
Ndio asafiri SAA nane ya usiku? Kuendesha Gari usiku ni hatari sana kwa dereva, abiria, chombo chenyewe na watumiaji wengine wa barabara.Anaweza kuwa alikuwa safari kikazi kukagua ujenzi wa miundombinu ya umeme.toka Dar hadi musoma
Pole TANESCOMhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva Wake Wafariki dunia ambaye jina lake sijalipata wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma.
Wapumzike kwa amani
Stay Tuned
====
MY TAKE
Tanzania tumemkosea nini Mungu? Kwanini tukipata Mchapakazi hadumu kwenye Uongozi anafariki Dunia? Inabidi tuliombee Taifa. Nampongeza Nyamohanga kwa kulitendea haki taifa. Alijuwa mchapakazi na mwenye IQ kubwa pia ameachia Vitu vingi na kafanya vitu vingi TANESCO sio Kama yule Maharage na Kampani yake.
R.I.P kigogo wa Serikali pamoja m Dereva wako.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme TANZANIA yaani TANESCO , Mhandisi Gissima Nyamuhanga Jana Usiku alipata Ajali ya Gari na kufariki hapo hapo, akiwa anatokea mikoa ya Kanda Ya Ziwa. pia Dereva wake naye amefariki,
Hizi ajali Tanzania zimekuwa zikimaliza watu, kwakweli sijui tufanye kitu Gani, naomba serikali iweke nguvu kutengeneza double road Barabara zote zinazounga mikoa na wilaya kama ilivyo nchini china au ulaya
R.I.P Gissima